Professional Video Camrera SONY DSR-PD170 On Sale

Professional Video Camrera SONY DSR-PD170 On Sale

Msiri

Senior Member
Joined
Jan 10, 2010
Posts
124
Reaction score
100
Professional Video Camera inauzwa. Imetumika lakini ipo katika hali nzuri sana. Aina ni SONY DSR-PD170 Bei haipungui shs 1,200,000. Sikuweza kuweka picha hapa ila kwa kufuata hiyo link unaweza kujua ni chombo cha aina gani. Extra accessory ambayo siyo sehemu ya packaging ni taa ya umeme ambayo unaweza kuiweka juu ya camera. Kwa kuwasiliana tuma email tajirika@gmail.com. Camera ipo DAr es Salaam
 
Weka specifications zake na picha, alafu hiyo email address mbona kama magumashi vile!
Namba ya simu itarahisisha mawasiliano..
 
Weka specifications zake na picha, alafu hiyo email address mbona kama magumashi vile!
Namba ya simu itarahisisha mawasiliano..
Samahani nimechelewa kupost hapa. Imeshauzwa
 
Back
Top Bottom