mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Naona utumbo unakucheza mkuu! Tehe! Au ulichangia hela ya kumsajili?! Maana sio kwa povu hili.Wapigaji haooo.... Yaani Simba ni tatizo... Wajanja yao 40% wanachama woyooooo..... Teeteeeh

26 bado kinda kabisa kwa mujibu wa wana simba mkuu sio mimiOkwi ana umri gani? Si ni mkubwa kuliko Roger Miller? Maana Okwi nimeanza kumsikia tangu nikiwa mtoto