Professional driver needs your car

jimmyjames09

Member
Joined
Nov 30, 2019
Messages
11
Points
45

jimmyjames09

Member
Joined Nov 30, 2019
11 45
Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari.

Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho najivunia na ninajiona nina utofauti na madereva wengine.

- Najua kuandika na kuongea Kiingereza vizuri kabisa.

- Nina uwezo wa kuelewa jambo kwa haraka sana na kulifanya kwa wepesi sana

- Napenda usafi kwa hiyo muda wote chombo changu lazima kiwe safi na chenye kunukia vizuri sana

- Najua maeneo mengi sana hapa jijini Dar es Salaam kwa sababu nimekuwa dereva Uber kwa miaka 3 huku nikifikisha trip zaidi ya 3000

- Ni kijana mwaminifu sana na mwenye hofu ya Mungu.

Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa kama hizo na atapenda kushuhudia kwa macho basi anitafute kwa namba hizi:

0758659261

Au email: jpmkwabi08@gmail.com

Note: Kazi ya udereva kwa ajili ya ofisini, mtu binafsi, tours, na Uber pia.

Shukrani
 
keisangora

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Messages
869
Points
1,000

keisangora

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2014
869 1,000

Ukipewa coaster haufanyi kazi mkuu ama hiace
 
Kibabu chenye pesa ndefu

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2019
Messages
301
Points
250

Kibabu chenye pesa ndefu

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2019
301 250
Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari.

Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho najivunia na ninajiona nina utofauti na madereva wengine.

- Najua kuandika na kuongea Kiingereza vizuri kabisa.

- Nina uwezo wa kuelewa jambo kwa haraka sana na kulifanya kwa wepesi sana

- Napenda usafi kwa hiyo muda wote chombo changu lazima kiwe safi na chenye kunukia vizuri sana

- Najua maeneo mengi sana hapa jijini Dar es Salaam kwa sababu nimekuwa dereva Uber kwa miaka 3 huku nikifikisha trip zaidi ya 3000

- Ni kijana mwaminifu sana na mwenye hofu ya Mungu.

Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa kama hizo na atapenda kushuhudia kwa macho basi anitafute kwa namba hizi:

0758659261

Au email: jpmkwabi08@gmail.com

Note: Kazi ya udereva kwa ajili ya ofisini, mtu binafsi, tours, na Uber pia.

Shukrani
nina bint yangu wa kike age 21 chuchu saa 6 kiuno kama dondola rangi ya mtume, nikupe kaz ya kumuendesha endesha? uki mess up miaka 30 itakuhusu
 
keisangora

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Messages
869
Points
1,000

keisangora

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2014
869 1,000
Ulivyojibu nikarudi kuangalia umri wako. Sio kosa lako ila ni Ishi ya muda haya Maneno yako utayajutia ama utayakumbuka. Nina imani utakuwa una pa kulala na kula kulipia.
Namie Nilikuwa ivyo ivyo
 
jimmyjames09

Member
Joined
Nov 30, 2019
Messages
11
Points
45

jimmyjames09

Member
Joined Nov 30, 2019
11 45
Ulivyojibu nikarudi kuangalia umri wako. Sio kosa lako ila ni Ishi ya muda haya Maneno yako utayajutia ama utayakumbuka. Nina imani utakuwa una pa kulala na kula kulipia.
Namie Nilikuwa ivyo ivyo
hahahahaha sina uhakika kama unaniambia mm au mtu mwingine..lakn kama ni mm nilisema siwezi kuendesha kwa sababu leseni yangu airuhusu namba nyeupe ni njano tu.kwahiyo kama ni hiace basi iwe namba ya njano..kuhusu maswala ya kula na kulala hayo ni mambo ya mwenyezi mungu tumuachie yeye
 
Drizzle

Senior Member
Joined
Nov 12, 2019
Messages
103
Points
225

Drizzle

Senior Member
Joined Nov 12, 2019
103 225
Kama kula na kulala aachiwe Mungu kwa nini unatafuta kazi?
hahahahaha sina uhakika kama unaniambia mm au mtu mwingine..lakn kama ni mm nilisema siwezi kuendesha kwa sababu leseni yangu airuhusu namba nyeupe ni njano tu.kwahiyo kama ni hiace basi iwe namba ya njano..kuhusu maswala ya kula na kulala hayo ni mambo ya mwenyezi mungu tumuachie yeye
 
Johng

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2016
Messages
768
Points
1,000

Johng

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2016
768 1,000
zina plate namba nyeupe .lakin mm wakat nafanya uber gari yangu ilikuwa namba ya njano.na pia wakati nafanya tours pia pale budget plate namba ilikuwa ya njano..nimesema hvyo kwa sababu leseni yangu airuhusu kuendesha namba nyeupe mkuu
Nimekuelewa mkuu!
 
Ikemefune

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2017
Messages
535
Points
500

Ikemefune

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2017
535 500
Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari.

Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho najivunia na ninajiona nina utofauti na madereva wengine.

- Najua kuandika na kuongea Kiingereza vizuri kabisa.

- Nina uwezo wa kuelewa jambo kwa haraka sana na kulifanya kwa wepesi sana

- Napenda usafi kwa hiyo muda wote chombo changu lazima kiwe safi na chenye kunukia vizuri sana

- Najua maeneo mengi sana hapa jijini Dar es Salaam kwa sababu nimekuwa dereva Uber kwa miaka 3 huku nikifikisha trip zaidi ya 3000

- Ni kijana mwaminifu sana na mwenye hofu ya Mungu.

Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa kama hizo na atapenda kushuhudia kwa macho basi anitafute kwa namba hizi:

0758659261

Au email: jpmkwabi08@gmail.com

Note: Kazi ya udereva kwa ajili ya ofisini, mtu binafsi, tours, na Uber pia.

Shukrani
Umejieleza vizuri sana.
Lazma utapata chochote kitu, big up sana.
 
Forum statistics

Threads 1,367,637
Members 521,789
Posts 33,405,702
Top