Professional certificates kama ulivyosema, ni vyeti vya kitaaluma vinavyotolewa na bodi mbalimbali kulingana na taaluma husika. Kwa mfano sisi madaktari kuna cheti ambacho kinatolewa na MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA(MCT) ambacho ni cha registration kwamba umesajiliwa kufanya medical practise in Tanzania.Jamani wadau na wanazuoni wajukwaa hili naomba kujuzwa kuhusu hili. Kuna tangazo la nafasi za kazi Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto. Wanataka walimu wa kufundisha vyuo vya maendeleo ya wananchi..... Katika viambatanisho vilivyotajwa kuna hii kitu inaitwa 'professional certificate from respective boards' kwa kiswahili 'cheti cha kitaaluma'. Sasa naomba kujuzwa hii ni mara ya pili naona hii kitu siielewi...
Kinatolewa wapi? Ni watu professional gani wanatakiwa kuwa nacho? Utaratibu wa kukipata ukoje? Umuhimu wake uko vipi yan ukiacha hawa wanaohitaji uambatanishe kuna sehemu gani nyingine ambapo huwa kinahitajika?
Natanguliza shukrani
Professional certificates kama ulivyosema, ni vyeti vya kitaaluma vinavyotolewa na bodi mbalimbali kulingana na taaluma husika. Kwa mfano sisi madaktari kuna cheti ambacho kinatolewa na MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA(MCT) ambacho ni cha registration kwamba umesajiliwa kufanya medical practise in Tanzania.
Kwa bankers na accountants kwa mfano na wao wana vyeti vyao vya kitaaluma kama Certified Public Accountant(CPA),etc, wanasheria nao wana cheti cha registration kutoka Tanganyika Lawyers' Association(kama sijakosea). Umuhimu wa vyeti hivi ni tofauti kulingana na taaluma husika; kwa mfano kwa sisi madaktari huruhusiwi kufanya medical practise in Tanzania kama huna hicho cheti cha usajili from MCT. Pia usipo submit cheti kama hicho kwa mfano sehemu unaomba kazi kama in your case, means kuwa mwenzio ambae ame submit hicho cheti atakuwa na advantage zaidi kuliko wewe. Upatikanaji wake ni kwenye respective boards/associations kulingana na taaluma husika. Mfano sisi madaktari unafanya usajili ofisi za MCT.
Sina uhakika kama profession zote zina such certificates, nimejibu kulingana na uzoefu wangu mdogo; so sina uhakika sana kama walimu kwa mfano na wao wana vyeti vyao vya kitaaluma.
I hope this was helpful, kwa bahati mbaya thats the only knowledge i have on the matter.
mkuu, lawyers tunapata icho cheti kutoka "law school of tanzania" in connection with the ag's office....bila hiki huwezi kusimama mahakamani as a learned brother/sister..../advocate!barriester/magistrate/judge!
Jamani wadau na wanazuoni wajukwaa hili naomba kujuzwa kuhusu hili. Kuna tangazo la nafasi za kazi Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto. Wanataka walimu wa kufundisha vyuo vya maendeleo ya wananchi..... Katika viambatanisho vilivyotajwa kuna hii kitu inaitwa 'professional certificate from respective boards' kwa kiswahili 'cheti cha kitaaluma'. Sasa naomba kujuzwa hii ni mara ya pili naona hii kitu siielewi...
Kinatolewa wapi? Ni watu professional gani wanatakiwa kuwa nacho? Utaratibu wa kukipata ukoje? Umuhimu wake uko vipi yan ukiacha hawa wanaohitaji uambatanishe kuna sehemu gani nyingine ambapo huwa kinahitajika?
Natanguliza shukrani
Walimu na ninyi kujeni mtuambie...na ninyi mnayo hii kitu? Kama hamtaki kuja nawazamia huko pm kwenu
Professional certificates kama ulivyosema, ni vyeti vya kitaaluma vinavyotolewa na bodi mbalimbali kulingana na taaluma husika. Kwa mfano sisi madaktari kuna cheti ambacho kinatolewa na MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA(MCT) ambacho ni cha registration kwamba umesajiliwa kufanya medical practise in Tanzania.
Kwa bankers na accountants kwa mfano na wao wana vyeti vyao vya kitaaluma kama Certified Public Accountant(CPA),etc, wanasheria nao wana cheti cha registration kutoka Tanganyika Lawyers' Association(kama sijakosea). Umuhimu wa vyeti hivi ni tofauti kulingana na taaluma husika; kwa mfano kwa sisi madaktari huruhusiwi kufanya medical practise in Tanzania kama huna hicho cheti cha usajili from MCT. Pia usipo submit cheti kama hicho kwa mfano sehemu unaomba kazi kama in your case, means kuwa mwenzio ambae ame submit hicho cheti atakuwa na advantage zaidi kuliko wewe. Upatikanaji wake ni kwenye respective boards/associations kulingana na taaluma husika. Mfano sisi madaktari unafanya usajili ofisi za MCT.
Sina uhakika kama profession zote zina such certificates, nimejibu kulingana na uzoefu wangu mdogo; so sina uhakika sana kama walimu kwa mfano na wao wana vyeti vyao vya kitaaluma.
I hope this was helpful, kwa bahati mbaya thats the only knowledge i have on the matter.
Acha walimu tuu, kuna haja ya kuanzisha huu mtihani katika kada ya Journalism & PR, huna hicho cheti cha professionalism hakuna kufanya kazi na media yoyote!! Nadhani nidhamu ingekuwepo katika hii kada muhimu!!
Kuna watu wanatumia vipaji tu hawana taaluma yoyote ndo hao wanaonunulika na kuharibu taswira nzima ya media!!
Hahahaa mkuu Ligogoma kwani wenye professional certificates hawanunuliki? Ni hulka tu ya mtu