Profesa

[emoji3][emoji3][emoji3] kitambo sana. Mambo yanabadilika.
 
Wa tz ni scotland yard (not sure of spellings)
 
Kweli maisha safari ndefu.
 
Wa tz ni scotland yard (not sure of spellings)
 
kuna kijikampuni cha upelelezi kinaitwagwa hivyo
 
namkumbuka huyu jamaa kitambo hicho aliitwa homu aje kutoa mapepo nikiwa bado mdogo sana!alikuwa na wanafunzi wake kama wa4 hivi wakapanda darini wakashuka na mahirizi eti yalikuwa yametegwa huko juu
 
namkumbuka huyu jamaa kitambo hicho aliitwa homu aje kutoa mapepo nikiwa bado mdogo sana!alikuwa na wanafunzi wake kama wa4 hivi wakapanda darini wakashuka na mahirizi eti yalikuwa yametegwa huko juu
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ahahah walikuja nazo wenyewe mfukoni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…