Profesa Sospeter Muhongo hongera

January acha kuwachafua wenzako
 
Muhongo alishajikubali kitambo baada ya kujifanya kuwa yeye ndiye msomi wa mambo ya miamba nambari MOJA hapa Tanganyika.

Jiwe alivyo muona anatafuta umaarufu kuliko yeye akaamua kumpoteza kabisa .

Nilikutana naye wiki iliyo pita yupo kwa mama yake pale kijijini anajitafunia kamongo wake .
 
Profesa muongo wanini tena? Kamugisha bado umeshikilia ukanda!! Ota ndoto saivi hamna tena mbeleko daaadeki!! Prof muongo awaongopee hukohuko taiga niusawa saii na hakuna atayeshindwa kuapa tena maana hatutishani mambo kistaarabu na bimdash!! Kagera msubirini kina bushiri,bashungwa et al mabadiliko yaja
 
Moja ya mada mbovu kabisa kutoka kwa Beatrice Kamugisha ! Muhongo hana dharau! Siyo mtu wa kujikweza kwa sababu ya elimu yake!

Unakumbuka alipokuwa Waziri wa Nishati alimjibu nini Mbunge mwenzake Christopher Ole Sendeka?
 
Hawezi kuwa VP
 
Moja ya mada mbovu kabisa kutoka kwa Beatrice Kamugisha ! Muhongo hana dharau! Siyo mtu wa kujikweza kwa sababu ya elimu yake!

Unakumbuka alipokuwa Waziri wa Nishati alimjibu nini Mbunge mwenzake Christopher Ole Sendeka?

Ole sendeka alikua anasumbua kwa kuongea bila hoja baadae ikagundulika kua hamnazo kwa kulidhibitisha hilo kupitia vyeti vyake,hapo tatizo lipo wapi??
 
Huyo muhongo hafai kuwa kiongozi kama unajidanganya awamu atakumbukwa utasubiri sana.

Hakuna anayefaa kuwa Kiongozi kwa Tanzania ya sasa na hasa Wana CCM waliopo / walivyo, ila angalau huyu kidogo ana Uafadhali na ikiwa ni Kweli kwa Fumbo hili atakuwa ni Yeye basi hata Mimi All - Rounder nitampongeza na Rais atakuwa kapatia.
 
... hatuwezi kuwa na watu toka nazaliwa mpaka sasa nazalisha wao bado tu wanang'ang'ania kukaa kwenye vyeo watuachie sasa tutakuja kupigana mapanga bure ...
Kweli JF kuna vijana (watoto) wengi sana na yawezekana mnajua au hamjui ila mnakazimisha kujua.

Sospiter Mwijarubi Muhongo si mkongwe 'sana' kwenye uga wa siasa za nchi hii kama unavyotaka kudanganya wasomaji, huyu jamaa amefahamika kuanzia kipindi cha Jakaya 2012 ndipo alianza kuwatumia wananchi wa Musoma vijijini.

Muhongo ni msomi, muda mwingi ametumikia elimu yake nje ya nchi hadi Kikwete alipomuona na kumtaka aje kulijenga taifa.

👉🏾Msiwe mnaandika ujinga kama hamjui.
 
Ole sendeka alikua anasumbua kwa kuongea bila hoja baadae ikagundulika kua hamnazo kwa kulidhibitisha hilo kupitia vyeti vyake,hapo tatizo lipo wapi??
Alitakiwa aoneshe hicho kipimo sasa cha kutokuwa mjivuni! Kitendo cha kumjibu kwa dharau Mbunge mwenzake Ole Sendeka kwa sababu tu ya elimu yake ndogo/alifeli, kinamuondolea moja ya sifa aliyopewa na mtoa mada.

Alikuwa na nafasi ya kumuelewesha kwa utaratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…