Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Lala weweeNampa hongera ndugu yangu na mtani wangu Sospeter Mhongo nikimtaadharisha kutokuishi kwakuwafokea wananchi, kutokuishi kwa kujikweza kwa elimu yake, kutokuishi kama wasiosoma si watu wanaofaa kutoa maoni na ushauri...Ni muda wakuishi na Watanzania wote bila ubaguzi ukimwomba Mwenyenzi Mungu akupe hekima na busara pamoja na moyo wa upendo kwa wa chama chako, wa upinzani na wasio na chama. Futa moyoni mwako waliokunyanyasa kifikra na waliokupokonya madaraka, yamkini neema ya uongozi iliyopo mbele yako inatokana na kukataliwa kwako kulikopelekea watu waone umuhimu wako.
Nikutakie kila la heri katika harakati za kisiasa na kulijenga Taifa.
Ndio the next V P?Nampa hongera ndugu yangu na mtani wangu Sospeter Mhongo nikimtaadharisha kutokuishi kwakuwafokea wananchi, kutokuishi kwa kujikweza kwa elimu yake, kutokuishi kama wasiosoma si watu wanaofaa kutoa maoni na ushauri...Ni muda wakuishi na Watanzania wote bila ubaguzi ukimwomba Mwenyenzi Mungu akupe hekima na busara pamoja na moyo wa upendo kwa wa chama chako, wa upinzani na wasio na chama. Futa moyoni mwako waliokunyanyasa kifikra na waliokupokonya madaraka, yamkini neema ya uongozi iliyopo mbele yako inatokana na kukataliwa kwako kulikopelekea watu waone umuhimu wako.
Nikutakie kila la heri katika harakati za kisiasa na kulijenga Taifa.
Nampa hongera ndugu yangu na mtani wangu Sospeter Mhongo nikimtaadharisha kutokuishi kwakuwafokea wananchi, kutokuishi kwa kujikweza kwa elimu yake, kutokuishi kama wasiosoma si watu wanaofaa kutoa maoni na ushauri...Ni muda wakuishi na Watanzania wote bila ubaguzi ukimwomba Mwenyenzi Mungu akupe hekima na busara pamoja na moyo wa upendo kwa wa chama chako, wa upinzani na wasio na chama. Futa moyoni mwako waliokunyanyasa kifikra na waliokupokonya madaraka, yamkini neema ya uongozi iliyopo mbele yako inatokana na kukataliwa kwako kulikopelekea watu waone umuhimu wako.
Nikutakie kila la heri katika harakati za kisiasa na kulijenga Taifa.
Upuuzi huyu kwa sasa ni irrelevant hatuwezi kuwa na watu toka nazaliwa mpaka sasa nazalisha wao bado tu wanang'ang'ania kukaa kwenye vyeo watuachie sasa tutakuja kupigana mapanga bure hata sisi tuna familia za kulisha na tuna dreams za kuachieve na pia tuna malengo ya kuacha alama kwenye taifa letu.
Usiku huu we Soma halafu kula konaDuh!, kwa uandishi huu umeshaacha alama. Aya nzima haina coma wala full stop!
[emoji3][emoji3] kumbuka katoa kilio chako Prof. Muhogo asiwadharau wasio na elimu. Ashatabainisha kilio chake kisha ww tena unamletea kanuni za uandishiDuh!, kwa uandishi huu umeshaacha alama. Aya nzima haina coma wala full stop!
Kuna haja gani ya kuandika kitu ambacho unataka watu wengine zaidi yako wakisome lakini wewe ukaandika kwa mafumbo? ambayo unayajua wewe peke yako tu?kwa Nini unachangia kueneza hofu,uzushi na sintofahamu?
Maana Kila mtu atatafsiri andiko lako kivyake.
Tema mate chiniNdio the next V P?