Profesa Shivji: Waathirika sio wahalifu. Waathirika hutibiwa. Wahalifu hudhibitiwa

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233

KtkKijiweni:Maovu ya jamii huhitaji matibabu ya kijamii;sio mabavu ya dola.Waathirika sio wahalifu. Waathirika hutibiwa.Wahalifu huthibitiwa

Issa Shivji ‏@IssaShivji 2h2 hours ago
Social ills call for social solutions; not force of state. Victims are not criminals. Victims are rehabilitated. Criminals are restrained

Issa Shivji ‏@IssaShivji 2h2 hours ago
KtkKijiweni:Maovu ya jamii huhitaji matibabu ya kijamii;sio mabavu ya dola.Waathirika sio wahalifu. Waathirika hutibiwa.Wahalifu huthibitiwa

Issa Shivji ‏@IssaShivji Feb 3
Issa Shivji Retweeted Prof Makau Mutua
Only if you had been more sensitive to the powers behind this war, you'd have never supported it right from the start. Too little too late.

Another Team Wema Sepetu Makonda Ongeza Mwendo.
 
KtkKijiweni:Maovu ya jamii huhitaji matibabu ya kijamii;sio mabavu ya dola.Waathirika sio wahalifu. Waathirika hutibiwa.Wahalifu huthibitiwa

Another Team Wema Sepetu Makonda Ongeza Mwendo.

PROFESA AACHE UNAFIKI. VIJANA WANAUMIA KWA MADAWA YA KULEVYA YEYE ANALETA KEJELI !
 
Kama kawaida Yake professor kurusha jiwe gizanni

"panda chuki vuna hasira" moja ya ma professor tuliobakiza (Hazina)........

Long live professor.............
Huyo naye professor kashindwa nini kusema juu ya kukanyagwa kwa katiba ya nchi??? Hana jipya. Tumechoka na drama za wasomi. Wasomi gani hawana faida katika nchi yao.
 
Kama kawaida Yake professor kurusha jiwe gizanni

"panda chuki vuna hasira" moja ya ma professor tuliobakiza (Hazina)........

Long live professor.............
Siku akitoa mtazamo tofauti na fikra zako usiewe wa kwanza kutoa matusi coz hamchelewi kubadilika.
 
Swala la madawa linahitaji mjadala wa kitaifa, linahitaji watu wenye busara, kiki hazihitajiki kabisa kupambana na janga hili, otherwise tutaishia kuwakamata mateja tu huku wauzasaji wakubwa wakiendelea kula bata. we need to think BIG as a national.

Issa Shivji ‏@IssaShivji 2h2 hours ago
Social ills call for social solutions; not force of state. Victims are not criminals. Victims are rehabilitated. Criminals are restrained

Issa Shivji ‏@IssaShivji 2h2 hours ago
KtkKijiweni:Maovu ya jamii huhitaji matibabu ya kijamii;sio mabavu ya dola.Waathirika sio wahalifu. Waathirika hutibiwa.Wahalifu huthibitiwa

Issa Shivji ‏@IssaShivji Feb 3
Issa Shivji Retweeted Prof Makau Mutua
Only if you had been more sensitive to the powers behind this war, you'd have never supported it right from the start. Too little too late.

Maria Sarungi TsehaiVerified account ‏@MariaSTsehai 1h1 hour ago
@IssaShivji apparently it's vice versa in [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] .. criminals are rehabilitated and victims are restrained
1f914.png
 
Prof yuko sahihi makonda must deals with the drug dealer's but not the drug users nimemuelewa sana prof.
 
PROFESA AACHE UNAFIKI. VIJANA WANAUMIA KWA MADAWA YA KULEVYA YEYE ANALETA KEJELI !
Na wataendelea kuumia kwa sababu wao Ni victims na ndo wanaofungwa ilihali Wauzaji halisi wakiendelea kufadhili safari zake za US,Dubai,UK,Paris, na SA! AKILI KUMKICHWA!
 
Kama kawaida Yake professor kurusha jiwe gizanni

"panda chuki vuna hasira" moja ya ma professor tuliobakiza (Hazina)........

Long live professor.............
Laikini alichosema ni ukweli, wasioupenda wameshafura sas hivi.
 
Angalao leo shivji kasema maneno ya maana, ingawa mimi naunga mkono wote yaani watumiaji, wabebaji, wasambazaji na waagizaji wote waadhibiwe
 
PROFESA AACHE UNAFIKI. VIJANA WANAUMIA KWA MADAWA YA KULEVYA YEYE ANALETA KEJELI !
Acha kufikiri Kwa asilimia ndogo, mirembe hospital ilianzishwa Kwa sababu zipi? Lutindi, na nyinginezo kama hizo zipo Kwa sababu zipi? Wazifanye ziwe za kansa basi na magereza igeuke kuwa sehemu ya waathirika wa madawa.
 
uchochezi...ivi hajui tuliwahonga shilingi ngapi wabunge wa ccm ili wapitishe mawazo ya dokta feki mawazo ya kile kinachoitwa uchochezi ?
 
Proffesor pekee aliebaki na weredi wake tz
Mbona maprofesa wenye weledi na maadili ni wengi tu ni kwamba hawako kwenye siasa, uanaharakati au haki za binadamu. Kwa kuwa wako low profile hamtawasikia kama hao nilio wataja.
 
Back
Top Bottom