johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 93,961
- 164,205
Kwa mujibu wa vigezo vya elimu dunia na akhera profesa anapatikanaje?
Asante mkuuProfesa ni cheo katika taaluma ambacho hutokana na wingi wa machapisho ya mtu. Mara nyingi kinafuata mtiririko ufuatao
1. Tutorial Assistant
2. Assistant Lecturer
3. Lecturer
4. Senior Lecturer
5. Associate Professor
6. Full Professor
Asante mkuuProfesa ni cheo katika taaluma ambacho hutokana na wingi wa machapisho ya mtu. Mara nyingi kinafuata mtiririko ufuatao
1. Tutorial Assistant
2. Assistant Lecturer
3. Lecturer
4. Senior Lecturer
5. Associate Professor
6. Full Professor
Dr je ?Profesa ni cheo katika taaluma ambacho hutokana na wingi wa machapisho ya mtu. Mara nyingi kinafuata mtiririko ufuatao
1. Tutorial Assistant
2. Assistant Lecturer
3. Lecturer
4. Senior Lecturer
5. Associate Professor
6. Full Professor
Dr sio cheo kitaaluma bali ni level ya juu kabisa ya Elimu yaani baada ya mtu kupata Shahada ya umahili/uzamili hapo level inayofuata ni shahada ya Uzamivu yaani Doctor of Philosophy (PhD). Hii ni katika mlolongo wa kitaaluma. Lakini pia kuna Dr au MD huyu ni daktari wa binadamu au Vet ambaye ni wa wanyama hawa ni zao la elimu zao za utabibu na anakuwa dk kwa hiyo shahada yake moja.Dr je ?
Naomba uliza MTU anakuaje lecturer
Asante mkuuuKama ukisoma post yangu hapo juu utaona Lecturer ni cheo kitaaluma. kuwa lecturer kuna hitaji mtu awe na yafuatayo
1. Awe na shahada ya Umahili/Uzamili yaani Masters pamoja na machapisho ambayo yatampa point zisizopungua 2 (Hapa ni kwa wale ambao wapo kazini na awe ametumikia cheo chake (Assistant lecturer) kwa muda usiopungua miaka mitatu
2. Kwa direct entrant, awe na PhD
Haya maelezo ni kwa Lecturer kama cheo ingawa watu wengi huchanganya lecturer kama cheo na kila mhadhiri wa chuo kikuu wakidhani ni Lecturer. Ufafanuzi zaidi ni kama ufuatao
Ukiwa na Bachelor Degree (GPA kuanzia 3.8 kwa Arts na 3.5 kwa Science unaweza kuajiliwa kama Tutorial Assistant (hii mara nyingi inakuwa treated kama training post
Ukimaliza Masters unakuwa promoted kuwa Assistant lecturer provided GPA yako haipungui 4.0 na hii pia ina apply kwa anayeomba ajira mpya kwa level ya Assistant Lecturer
Nadhani nimekujibu Mkuu
Umesahau Dr ya kutunukiwa kama heshima mkuuDr sio cheo kitaaluma bali ni level ya juu kabisa ya Elimu yaani baada ya mtu kupata Shahada ya umahili/uzamili hapo level inayofuata ni shahada ya Uzamivu yaani Doctor of Philosophy (PhD). Hii ni katika mlolongo wa kitaaluma. Lakini pia kuna Dr au MD huyu ni daktari wa binadamu au Vet ambaye ni wa wanyama hawa ni zao la elimu zao za utabibu na anakuwa dk kwa hiyo shahada yake moja.
Kwan professor lazima awe tutorial, assistant lecturer and so on.....?Profesa ni cheo katika taaluma ambacho hutokana na wingi wa machapisho ya mtu. Mara nyingi kinafuata mtiririko ufuatao
1. Tutorial Assistant
2. Assistant Lecturer
3. Lecturer
4. Senior Lecturer
5. Associate Professor
6. Full Professor
Ukiwa senior Lecturer unapaswa kutoa machapisho ambayo yanakupa point. Kwa mujibu wa scheme mpya ya pamoja ili kutoka senior lecturer kuwa associate professor unahitaji point 8.Wakuu mimi nina swali la nyongeza. Je ni nani anatoa huo u-profesa? Yaani nani anapitisha kwamba sasa wewe ni asociate profesa au full profesa? cc The Planner