BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
bado tunasafari ndefu sana! mpaka tuache ushabiki tuanze kufikiri kwa kina! itatuchukua muda na wala hatuwezi endelea. kalibia wote mliochangia ni wale watu wanomsubiri ipigwe ngoma waanze kutingishika bila hata kutafakari ngoma inahusu nini. kama wabunge tu! nae muhongo anawaweza kwwelikweli yeye ni kupigango ngoma mnacheza tu. hata ukilala kiza akikwambia mgowo ni historia wewe unashangilia. wabunge waliambiwa kuna wizi wote si wa upuinzani wala ccm wakapanua midomo ooh!wezi tunawajua! wezi tunawajua! basi muhongo akapitisha bajeti yake bila hata kuhojiwa mambo ya msingi. unacheza na profesa! alafu lugha ya kusema yeye si mwana siasa muache! huo ni umbumbumbu wa mambo na kama hujui si lazima uchangie ujinga wako. uwanasiasa si rangi wala umbo bali "to host any political position". hilo la siasa tuma maombi tutamwaga elimu hapa ya kuhusu siasani nini na mwanasiasa ni nani.