Longo longo pro muhongo siyo asili yake. kumshauri aende kivukoni kusoma siasa ni kumwambia aende kusoma longo longo. Mzee huyu haangalii sura wala chama. Ulivyokuja ndivyo atakavyokujibu. Kutaka kuonyesha matokeo ya mh Sendeka nayo ni sawa maana alitaka kuonyosha uelewa wa mtu huyo. tuwe wakweli hivi hatuoni mabadiliko ktk sekta ya umeme tangu pro muhongo awe waziri? kwa nn tusione kwamba huyu pro ameziba liziki za watu ndiyo maana anasakamwa? Hatukumbuki dili la mafuta mazito? Nani asiyeelewa Dr mengi anavyopenda kuabudiwa lkn pro hamuabudu na ndiyo chanzo cha wawili hawa kutoelewana? Mnataka serikali iwekwe mfukoni na watu wa aina ya Dr mengi? Watz bw angekuwa mpole mngemsodoa!! Anaonyesha makucha mnalalamika! kwani amezuia asichunguzwe km kuna tuhuma za kweli dhidi yake? Bila aibu unashauri wizara iongozwe na vihiyo mikataba ya kimataifa wataipambanuaje. Unasemaje matokeo ya mtu ni siri wakati hubandikwa ktk mbao za matangazo na sasa unayaona kiganjani? Huyu ni mzee wa makavu kavu. SHIKAMOO PRO MUHONGO.
wewe ndo wale miongoni mwa akina sendeka nini? maana unatetea mpaka ujinga.
Pambafu ww: Hatuwezi kama nchi kila siku tunaimba ufisadi wa karatasi na magazeti ya Mengi. Vita na fitina kwa Prof hazina msingi wowote.
Kuna thread ndani humu ilimchambua Prof na nakumbuka aliyeandika alidai ya kuwa Prof anaugua ugonjwa wa grandios,nahisi unahusu majisifu.
Tatizo kubwa ni kuwa ameamini anamshambulia Sendeka lakini asijue (pamoja na usomi wake) ya kuwa anamshambulia mpaka spika na hata baadhi ya mawaziri.
Mambo haya ya kufanya vitu bila kutafakari repurcussion yake inaelekea yanajengeka kwani hata Mwigulu nae ameingia katika mkumbo huyo akitamani kuwa Rais ili awakomeshe (Rais aliyemteua kashindwa????).
Muhongo amezoea kufundisha wanafunzi wa chuo kikuu na anaona wote ni wanafunzi lakini akumbuke bunge hilo hilo lilimtoa EL (strong person) na naamini yeye hana killo kama za EL katika siasa.
Hiyo ni moja kati ya paranoid symptoms kwa wale wenye paranoid personality disorder, inaitwa Grandiose Identity, na kwakuwa ana poor insight hawezi jua kuwa anahitaji medication
unaweza kuwa umesoma kwa miaka 20 na usielimike, muda wa kukaa darasami siyo determinant ya kuelimika, ndiyo maana tunao maprofesa weziiiiiiiii tangu hasubuhi hadi juioni, jan-dec, .....kama utakuwa umehudhuria shule nadhani umesoma kwa miaka saba tu. Soma vzr post yangu nimesema kwani prof amezuia asichunguzwe?
tungekuwa na viongozi 10 tu kama Prof Muhongo nchi hii ingefika mbali sana.
Muhongo kawashika pabaya!
Longo longo pro muhongo siyo asili yake. kumshauri aende kivukoni kusoma siasa ni kumwambia aende kusoma longo longo. Mzee huyu haangalii sura wala chama. Ulivyokuja ndivyo atakavyokujibu. Kutaka kuonyesha matokeo ya mh Sendeka nayo ni sawa maana alitaka kuonyosha uelewa wa mtu huyo. tuwe wakweli hivi hatuoni mabadiliko ktk sekta ya umeme tangu pro muhongo awe waziri? kwa nn tusione kwamba huyu pro ameziba liziki za watu ndiyo maana anasakamwa? Hatukumbuki dili la mafuta mazito? Nani asiyeelewa Dr mengi anavyopenda kuabudiwa lkn pro hamuabudu na ndiyo chanzo cha wawili hawa kutoelewana? Mnataka serikali iwekwe mfukoni na watu wa aina ya Dr mengi? Watz bw angekuwa mpole mngemsodoa!! Anaonyesha makucha mnalalamika! kwani amezuia asichunguzwe km kuna tuhuma za kweli dhidi yake? Bila aibu unashauri wizara iongozwe na vihiyo mikataba ya kimataifa wataipambanuaje. Unasemaje matokeo ya mtu ni siri wakati hubandikwa ktk mbao za matangazo na sasa unayaona kiganjani? Huyu ni mzee wa makavu kavu. SHIKAMOO PRO MUHONGO.
Mshamba kama wewe hutaweza kuacha kushabikia kisa ni Prof na anatokea Musoma , tembea uone ma Prof wenzake Duniani ni wa aina gani kaka .
hizi akili za shake before use za akina lema/sugu/sendeka/kibajaji ni shida tu kwenye nchi hii. Go Prof. go... achana ni hii miduwanzi.wacha kujidanganya wewe ingefika mbali wapi?