Profesa Muhongo amekengeuka!

Alikuwa anafanya reference kwa Professor mwenzake anayelipwa fedha ya uwaziri bila kuwa na kazi maalumu.
 
Huanza hivi hivi baadaye watu hujiuzulu.........tusubiri Masai hutahiriwa bila ganzi !! Tusubiri tuone.
 

kama kuna siku nilishikwa na hasira basi ni jana nilipokua namsikiliza na kumuangalia huyu Prof Muhongo,kwa kweli sidhani kama nitamuheshimu tena,ni mpuuzi wa hovyo pamoja na majigambo yake ya elimu aliyonao,kwanza kitendo cha kuweza kupata matokeo au mtihani wa mtu fulani wakati hizi documents ni nyaraka za serikali kwa kweli hakikubaliki na ni ukiukwaji uliovuka mipaka ya sheria inabidi ashitakiwe,haya mazezeta ni mijitu ya hovyo kupita maelezo....siasa zetu ni za unafiki mtupu na kamwe taifa hili halitakuja kua na maendeleo,tutabaki kuwa watu wa porojo na visingizio..shame on you Muhongo!
 
The most corrupt minister on earth is Prof Muhogo sorry Muhongo.
 
Huyo ndiye anayefaa kwa vishoka wanaopenda sana kudai rushwa kwa vihoja hoja bungeni na kutishia kwa kujidai wanajua kuwalipua watu ili wawekewe sent kwenye account zao. kimsingi watanzania tusiamini sana kuwa wawakilishi wasemao sana mle ndani ndiyo wanaofaa au wanatutetea lahasha hiyo kwa taarifa yenu ndiyo mbinu pekee itumikayo leo kujitwalia kwa wale wasio na msimamo. na pili unavyomuona muhongo na aina ya wabunge wetu wengi ni sawa kuna ombwe kubwa kama vile mbingu na dunia, kwani hata angeongea kiswahili angeonekana tu kajidai nk. hebu tuache naye afanye kazi!! na tumpe support.
 
Mtu akiwa mwizi wa vyuma vya reli ukimsomesha ataiba siyo tu vyuma bali train zima......Usomi usio na utu ni ujambazi hatari sana and thats what we experience in Tanzania...Watu wasio na morals walisomeshwa kwajasho la watanzania at the expense ya kina Jk Nyerere, Warioba and the likes leo hii hai hao ambao walinunuliwa kila kitu na serikali hadi kulipiwa nauli wamegeuka wakoloni zaidi ya wakoloni halisi!

Huyu prof tangu azarau watanzania nimemweka kwenye ignore list! Mtanzania gani kuwaita watanzania wenzake wanaweza uza maji na juice tu? Yeye anafurahia kubandikwa vyeo bandia vya uraisi wa geologia kama huo urais ungekuwa wa maana mbona hana invention yoyote inayoweza kuwa patented na kuiletea Tanzania pesa ambayo ingewaondoa katika kuondokana na kuwa wauza juice na maji?

Kama ameshindwa yeye mwenyewe kuwa emancipated ataweza kuwasaidiaje watanzania? What is the use if his professorial kwa watanzania if he cannot change the status quo ya watanzania kuwa wauza juice?

Hivi tunalaana gani sisi weusi? Why cant we be confident and do things on our own ways? People like him should be shamed and disgraced pengine itapunguza hawa watu kuwa liabilities amongst us!

Kama usomi ni wa type ya Mhongo I choose to be illiterate.....I hate Muhongo's attitude to the fullest!
 

Support ya arrogant person ya kazi gani? Hivi anashindwaje kuwa mstaarabu na kuheshimu binadamu wenzake? Kosa hali halalilishi kosa; ufisadi hauwezi ku justify arrogance!

Yeye ni Geologist lakini akijifanya he is everything then you should understand he is not omniscient, omnipresent and almighty...As an educated person kwa level ya professor you dont expect him to act kwa jinsi alivyo tukimchimba sana utakuta kuna somewhere anatatizo ambalo analifunika kutumia position yake hiyo ya karatasi; hajikubali na hajiamini kama ana deserve hiyo title!
 
Duh m aliniaha hoi alipo muelezea mnyika aseeee,(aliuliza Mnyika kipeo cha 4+4 ni sawa 4... Tafuta mnyika.m. Aseee nlipofanya nakapata 0)

Daima kauli zetu zitatuhukumu, kabla ya mapinduzi ya ufaransa, wafaransa waliandamana kudai kuwa nchi haina mikate malkia akajibu kama hawana mikate si wale keki kilichompata na uzao wake kinatisha kwa hiyo ni vema viongozi wetu wakawa makini na kauli zao kwani hawaijui kesho yao.
 
Watanzania wanaweza biashara ya juice tu!!!!si ndiyo eeh!!!! asifikiri wananchi wanaihitaji elimu yake tunachohitaji ni uwajibikaji na kuheshimu watu FULLSTOP!!! mengi mwache hivyohivyo unless ni katika wale waleeeee
 
eeh sijui muambiwe vp mshaambiwa akili za mwafrika hazifikili sawasawa kwahiyo ata ukiwa prof wazungu wanasema ni frofesa mwafrika kicheko mmh namie ncheke kweekweeee prof muhogo
 
tungekuwa na viongozi 10 tu kama Prof Muhongo nchi hii ingefika mbali sana.
 
acha kutetea ujinga bhana. au na wewe ulipata zero kama akina sendeka nini? GO PROF GO GO............................... WE ARE BEHIND YOU.

 
'Mwongo ni Profesa wa Mawe'.haya maneno kuna mtu aliyasema wiki hii hii,nae ni profesa
 
Mtu yoyote anayeringishia elimu au ku-undermine uwezo wa wengine kwasababu ya elimu yao,he/she lacks something.
 

Mnachezeshwa ngoma msiyoijua na mfanyabiashara mashuhuri hapa nchini bila kujua.
 

naunga mkono hoja mwenye matokeo ya kidato cha 4 na 6 ya huyu msomi ambaye hajapata bahati ya kuelimika ayatupie hapa jamvini kusudi tupate nafasi ya kumjadili vyema huyo prof wa mawe....aksanta
 
vyovyote iwavyo mengi yuko light utaifa uzawa kwanza hata kama anataka kufanya udalali sipoa kinyume chake muhogo kwa uprofesa wako ungeonyesha njia wazawa waanzie wapi ilinao wanufaike sio kusema watz wanaweza kuuza juice ulichosema ni matusi kwa watz sasa na wewe ni msng mknd wako
 
Bora usikilize bongoflava kuliko kumsikiliza huyu mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…