Profesa Mkenda, shule za msingi hazina Walimu

Profesa Mkenda, shule za msingi hazina Walimu

Mtoa Uzi inaonekana hufahamu mfumo wa hizi wizara..Mkenda hahusiki na walimu...
 
Na waliopo ni watoro hawaendi kazini katika watu wanaofanya kazi bora liende ni walimu wanavizia vipindi halafu bado wanataka waongezewe walimu wengine.
 
Mtoa Uzi inaonekana hufahamu mfumo wa hizi wizara..Mkenda hahusiki na walimu...
Najua ulitaka nielekeze kwa Tamisemi lakini ukweli huko tamisemi ni siasa tu hakuna taaluma, waziri wa elimu asijisahau huko juu akasahau huku chini, kama anataka kuboresha elimu aingie field tangu huku kwenye mizizi aone hali halisi.
 
Wapinzani wanachelewesha maendeleo! Acha wabaki CCM peke Yao madarakani.
Kuna kipindi najiuliza, haya makosa wanayofanya watawala wa CCM, hayawezi kurekebika ndani ya miaka 5. Kama Tundu Lissu angeshinda uchaguzi uliopita, sasa hivi kelele zingekuwa nyingi(kwamba upinzani wanaharibu elimu, wameshindwa kuajiri walimu).
Acha iendelee kunyesha tuone panapovuja. Tukilowana Labda baadae akiri itarudi! Loo!
 
Back
Top Bottom