Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
"Wakati wa uchaguzi kama huu, maneno maneno lazima yawepo, lakini mama yupo imara, amestahimili, kwa dua zenu Mungu pia hatamuacha, atasimama naye na tutavuka salama tarehe 29 Oktoba na nchi yetu itasonga mbele" -Prof. Kitila
Prof. Kitila ameeleza hayo Oktoba 09.2025, kwenye kongamano la dua ya kuliombea Taifa kuelekea uchaguzi mkuu, lililo andaliwa na Jumuiya ya Wanawake wa kiislamu Tanzania (JUWAKITA) na kufanyika katika ukumbi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kata ya Manzese