Profesa Kabudi: Nilitumwa kazi Canada nikasumbuliwa sana. Niliandika barua ya kujiuzulu lakini kabla sijaipeleka kwa Rais nikanyan'ganywa

Kwahiyo kule canada kumbe tulipigwa? Siyo kama tulivyoaminishwa kuhusu makinikia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine muwe mnafatilia hotuba ili angalau wewe mwenyewe ujue nini kilisemwa kuepusha kuwasikiliza watu ambao wanaleta taarifa kwa namna yao wanayo jua wenyewe, watawapoteza hawa.
 
Hiyo barua alikua anaandika kwa kumia peni na karatasi au aliiandika kupitia kwenye komputa ? Hebu tuanzie napo. Kama kwenye computer copy itakuwepo
 
When Kabudi addresses an audience you’d be forgiven to assume he was giving a church sermon to a Christian audience rather than speaking as a national minister.

Who recommends these bozzos to senior posts.

Hakuna mtu mwenye akili zake timamu atamtuma Kabudi kufanya contract negotiation ni serikari ya Tanzania tu.
 
Kweli sikio la kufa halisikii dawa, yaani ni jana tu Lugola kaaibishwa mbele ya kadamnasi lkn bado huyo Kabundi hajifunzi tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali fikirishi je aliandika barua wakiwa wote hadi kunyang'anywa hiyo barua ila kuongea nyuma ya mikamera kuna raha yake hata ukijitoa ufahamu kamera zina ona tu
Alimpa kama external supervisor ili aipitie kabla ya ku-publish ikulu.. alifikiri ni "pepa"
 
Huku ni kujitafutia kiki tu.
Kama alinyang'anywa hiyo barua, kwa nini akuandika nyingine? Kwani alinyang'anywa mawazo aliyokuwa nayo?
jinga kabisa hili jamaa limeongea vitu vya kipuuzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…