Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati mwingine muwe mnafatilia hotuba ili angalau wewe mwenyewe ujue nini kilisemwa kuepusha kuwasikiliza watu ambao wanaleta taarifa kwa namna yao wanayo jua wenyewe, watawapoteza hawa.Kwahiyo kule canada kumbe tulipigwa? Siyo kama tulivyoaminishwa kuhusu makinikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hafla inayoendelea sasa hivi Ikulu ya Utiaji saini kati ya Tanzania na Barrick Gold, Profesa kutoka Jalalani akiwa anatoa hotuba yake bila tashwishwi amedai kwamba alitumwa kazi na Rais Magufuli lakini kazi ile hakufanikiwa na ikawa fedhaha kubwa kwake kwa kutumwa kazi na Rais na kushindwa kuitekeleza, hivyo alichukua maamuzi ya kumwandikia Rais barua ya kujiuzulu lakini kabla hajaifikisha sehemu husika akawa amepokonywa.
Nanukuu
“
Katika kujadili mikataba 9 itakayosainiwa leo, hicho kipindi kilikuwa kigumu. Hawakuwa hawa, walikuwa wenzao hawapo hapa. Sipendi kuwataja majina ila hawakutaka mikataba hii isainiwe na tufanikiwe. Kila tulipokutana na kukubaliana kesho yake walibadilika
Ilifika mahali Rais nilitaka kuingiwa na dhambi ya kukata tamaa na vitimbi hivyo vilishia kwa wao wenyewe kufukuzana kazi. Leo nataka kumshukuru Luteni Kanali Mstaafu Richard William
Tulipofika kukata tamaa, Rais nilikuwa nimendika barua ya kujiuzulu kuja kwako. Kwamba kazi uliyonipa imenishinda. Aibu hii na fedheha hii nitaibeba. Barua hiyo sikuileta maana Casmir Simba Kyuke alininyang'anya na kuichana
Nilisema sijawahi kutumwa kazi na Mkuu wangu wa nchi nikashindwa, ila sasa hawa watu hawataki. Rais unaniuliza mnakwendaje, mbona nasikia hamuendelei! Namjibu tunaendelea huku najua hatuendelei.Ndipo nilipowapigia Maaskofu wangu wa Anglikana.
Kwahiyo kule canada kumbe tulipigwa? Siyo kama tulivyoaminishwa kuhusu makinikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku ni kujitafutia kiki tu.
Kama alinyang'anywa hiyo barua, kwa nini akuandika nyingine? Kwani alinyang'anywa mawazo aliyokuwa nayo?
Alimpa kama external supervisor ili aipitie kabla ya ku-publish ikulu.. alifikiri ni "pepa"Swali fikirishi je aliandika barua wakiwa wote hadi kunyang'anywa hiyo barua ila kuongea nyuma ya mikamera kuna raha yake hata ukijitoa ufahamu kamera zina ona tu
jinga kabisa hili jamaa limeongea vitu vya kipuuzi sanaHuku ni kujitafutia kiki tu.
Kama alinyang'anywa hiyo barua, kwa nini akuandika nyingine? Kwani alinyang'anywa mawazo aliyokuwa nayo?
Hivi wale Ze comedi wameibuka kivingine?Alimpa kama external supervisor ili aipitie kabla ya ku-publish ikulu.. alifikiri ni "pepa"
Alinyang'anywa desa likachanwaHuku ni kujitafutia kiki tu.
Kama alinyang'anywa hiyo barua, kwa nini akuandika nyingine? Kwani alinyang'anywa mawazo aliyokuwa nayo?