Barua yangu kwa Mh. Rais wa JMT kupitia kwa (K.K) Waziri wa kazi, ajira na maendeleo ya Vijana!

ndugu yako

Senior Member
Mar 30, 2013
193
96
Mheshimiwa Rais!

Shikamoo.
kwanza pole kwa majukumu mbalimbali uliyonayo juu ya ujenzi wa taifa hili.

Naandika barua hii nikijua fika kuwa kwa sasa umetingwa na majukumu mazito kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu; uundwaji upya wa baraza lako la mawaziri na kuteuwa wajumbe wa bunge la katiba ni majukumu makubwa sana na kutokana na majukumu haya hupaswi kusumbuliwa na mambo mengine ambayo yanaweza kukutoa katika mstari sahihi wa fikra zako juu ya hatma ya Tanzania yetu!

Lakini mheshimiwa rais wewe ni baba yetu! haijalishi una majukumu makubwa kiasi gani pindi tunapopatwa na matatizo ni lazima tukuambie wewe hata kama ukiamua kujifungia chumbani peke yako na kuacha maagizo kuwa usisumbuliwe na mtu yeyote kwa sababu kuna kazi ya msingi unafanya itatuladhimu kukusubili tu hata kama ni saa nane usiku itabidi tukuambie!

Mheshimiwa rais. Mimi ni kijana niliyemaliza masomo yangu ya shahada ya kwanza mwaka jana katika chuo kikuu kimojawapo hapa nchini! Kama vijana waliowengi nilikuwa na ndoto na mategemeo mengi tu ambayo nikiamua kuyaandika hapa unawezadhani sina akili timamu lakini yote hayo yalikuwa ni ndoto tu!

Mheshimiwa rais! Ajira ndani ya Tanzania hii ni ngumu sana! Japo nina muda mchache sana mtaani ila nimeishaona mazingira ya kuniogopesha! mheshimiwa rais inaogopesha sana pale unapomkuta mtu aliyemaliza chuo mwaka 2010 akiwa bado mtaani anatafuta ajira wakati huo huo wakina sisi tuliomaliza chuo 2011, 2012 na 2013 bado tuna joto la kuzunguka na CV zetu mtaani! huku tukitegemea tena kuongezeka idadi mwezi wa 6 mwishoni mwaka huu!

Mheshimiwa rais! ninaweza kuonekana mzembe na nisiyependa kuushughulisha ubongo wangu badala yake nimekaa tu hapa nangojea kuajiriwa na kwanini nisijiajiri mwenyewe au nisiungane na wenzangu kujiajiri! Lakini ukweli ni kwamba sisi tunaotoka kwenye familia za chini na kati tuna mazingira magumu sana ya kujiajiri tatizo kubwa likiwa ni ukosefu wa amtaji.

Mheshimiwa rais! tunatambua uwepo wa mikopo kwa vijana hasa wale watakaojihusisha na kilimo but process zake zinatufanya tuamini kuwa hiyo mikopo ipo kwenye maandishi tu! sijawahi kuona au kusikia fulani na fulani waliomaliza chuo kikuu wamepokea mkopo toka serikalini! Pia mikopo juu ya fani nyingine tofauti na kilimo ni kama vile hakuna! sasa najiuliza je selikali inataka wote tuliomaliza chuo kikuu tuwe wakulima?!

Mheshimiwa rais! Nadhani pamoja na malalamiko mengi tuliyonayo ila nadhani wizara ya kazi, ajira na maendeleo ya vijana haitimizi wajibu wake! Haiwezekani wizara inayohusika na vijana haina connection na vijana! wizara inayohusika na vijana haijulikani kwa vijana! na hata mpango wa maendeleo wa vijana binafsi nimekutana nao bahati mbaya tu katika harakati zangu za kugoogle! Mheshimiwa rais kwa vile soon unategemea kurekebisha baraza lako la mawaziri hebu jaribu kuiangalia na hii wizara!

Mheshimiwa rais! kulalamika tu haitoshi! nadhani natakiwa kutoa na mapendekezo kidogo! Ajira za kitanzania zinatolewa kiundugu sana hili linatakiwa kukomeshwa mara moja! kuna watu waliwahi kupendekeza ajira za serikalini watu tuwe tunaapply online kama vile watu wanavyoapply vyuo siku hizi kupitia TCU! ndhani hili ni wazo zuri sana na litatoa uwanja wa haki na usawa kwa watanzania wote!

Pili, mheshimiwa rais kuhusu hii mikopo kwa vijana ni kwanini na yenyewe isitolewe kwa kutumia system kama ile ya Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB)?! nadhani matumizi ya system kama ile ya HESLB itasaidia kupunguza urasimu uliopo selikalini!

Mheshimiwa rais! kuna kitu kingine kinaitwa recruitiment agencies!! hawa watu wanatunyonya sana sana sana sana!!!! unapoajiriwa kupitia haya makampuni ni kwamba unafanya kazi kwa almost nusu mshahara kwa maisha yote utakapokuwa umeajiriwa na hawa watu! ninatambua kuwa haya makampuni yanaendeshwa na hiyo sehemu ya mshahara wa hao waajiriwa lakini wanapoamua kukata nusu kabisa ya mshahara tena kwa wafanyakazi zaidi ya 500 tena kwa miaka yote inakuwa sio haki! nadhani serikali yako inabidi iyafuatilie haya makampuni na kuweka uwanja wa usawa na kuondoa huu unyonyaji na kuweka mazingira sawa kwa watu wote yaani muajiri, muajiriwa na huyu mtu wa kati!

mheshimiwa rais! kwa leo yanatosha, naomba nikutakie kazi njema ya ujenzi wa nchi yetu.

Ni mimi;

Ndugu yako.
 
Barua ni Nzuri sana sana na imetulia kila eneo nimekupa "like"
pia serikali kupitia wizara husika inatakiwa kufanya kazi karibu na vyama vya wafanyakazi,uhamiaji nk,kuna makampuni mengi yanaajiri ma so called expert,kumbe wengine hawana hata cha u expert,pia wanaongezeka kwa majina tofauti hawa wote wanazibia ajira sana sana vijana,hakuna anaekagua hii kitu,hii yote inaziba ajira kwa vijana wazawa wenye uzoefu na inapunguuza multiplier effects mtaani toka kwa yule atakaekuwa ameajiriwa.Makampuni ya kigeni yamesahaulika kukaguliwa ajira zao na Qualification za watu hao.
Nawakilisha.
 
ngugu yako kwanza nikupe pole sana sana na inaonyesha uko vizuri sana kichwani, kwa kweli vijana wanapata tabu sana katika hio nchi maana hiuo wizara haina inalolifanya kabisaa, sasa mimi huwa inaniuma sana nikiona hii kitu hapa:

ORODHA YA WATOTO WA VIGOGO WANAOFANYA KAZI BOT
Filbert Sumaye, Beatrice Bomani, Pamela Lowassa, Zacharia Kawawa, Salama Mwinyi, Salama Mahita, Rachel Msekwa, Jane Sitta, Yasmine Karume, Rabia Shein, Joshua Nchimbi, Gracia Mkapa, Jane Diallo, Likel Ngasongwa, Andy Magufuli, Thomas Mongela, Jubilee Kigoda, Raymond Zanga, Ismail Meghji, Morris Mramba et al. Tena cha ajabu ji kuwa wote wamerundikwabsehemu moja, poleni sana sana sana.
Ndugu yako siku moja mambo yatakuwa sawa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umefanya kitu kizuri big up,
nahisi wasio na ajira ipo haja ya kukutana pamoja tuone tunajikwamuaje na hii hali!
 
Ungeituma hii kwa kupitiai Email ya ikulu huwenda ingefika ila kwa hapa watakuja wanasiasa michosho
Mkuu Tarimo, nimechukua wazo lako na kulifanyia kazi but kila nikijaribu kutuma inagoma! Nimetumia email hii: ikulu@ikulu.go.tz
kama kuna email tofauti na hiyo naomba unisaidie.
 
Kwako Monaco na wengine wenyetabia ya ku-paste threads/orignal post. Jirekebisheni jamani,unapoona uzi ni mrefu jitahdi upost pasipo kureply.

Back to the Topic;
Watawala, kuanzia kwa Rais+ usifkiri kuwa hawajui dhahama/kadhia wanazokumbana nazo wahitimu ktk kusaka ajira, bali wameziba maskio yao kwa nta na hii inachangiwa na ubaguzi mkubwa hata ktk huduma ya elimu Nchini. Watoto wao wanasoma shule nzr na hata wakihitimu wanapewa kazi katka sekta/ofisi nyeti tena pindi tu wamalizapo masomo. Na hata akitaka kujikita kwenye biashara wanapreveledge kubwa zaidi ya kupata mikopo minono tena kwa magumashi na pengine pasipo riba!
Tusipojitokeza kwa shauku,ari na nguvu kuhakikisha tunafumua mfumo huu uliopo kuptia demokrasia huru hakika siioni Tanzania mbele yangu bali ni machafuko na ghasia kubwa zitagharimu maisha yetu!
CCM someni alama za nyakati, haiwezekani vijana woote katka Taifa hili tuangamize maisha yetu kwa kutegemea ajira ya bodaboda!
 
Umetuongelea wengi sana ndugu,lkn rushwa imetawala ktk ajira,leo hii watu wananunua kazi,pamoja na hayo kuna lile suala lililoongelewa bungeni kuwa graduates watakopa kwa kutumia vyeti vyao lkn mpaka sasa kimya,daah tumekuwa watumwa ktk nchi yetu,bora wasomali wanaofanya uharamia walau wanapata mkate
 
Kwakweli umeongea vzr hii wizara sijui ipo kwa kazi ipi.kwanza naomba mwenye kujua chini ya HQ pale wizarani kuna ofisi ya wakala wa ajira ni serikali nao na je wanafanya kazi gani.ajira ni ngumu sana wangeangalia magunia yaliyobebwa posta kwa kazi ya PCCB nijibu tosha.kwanza hii wizara ingeangalia na ajira nyingine baadhi ya makampuni hawatoi mikataba kama kampuni za kichina na wahindi ukienda idara ya kazi ndo wanaongoza kwa kesi bila kujua na serikali inapoteza kodi na Nssf lakini utasikia kiongozi akisema NAJUA BOMU LA AJIRA LITALIPUKA MDA WOWOTE nafikiri tufike atua tuandamane hii wizara ifutwr
 
Mheshimiwa Rais!

Shikamoo.
kwanza pole kwa majukumu mbalimbali uliyonayo juu ya ujenzi wa taifa hili.

Naandika barua hii nikijua fika kuwa kwa sasa umetingwa na majukumu mazito kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu; uundwaji upya wa baraza lako la mawaziri na kuteuwa wajumbe wa bunge la katiba ni majukumu makubwa sana na kutokana na majukumu haya hupaswi kusumbuliwa na mambo mengine ambayo yanaweza kukutoa katika mstari sahihi wa fikra zako juu ya hatma ya Tanzania yetu!

Lakini mheshimiwa rais wewe ni baba yetu! haijalishi una majukumu makubwa kiasi gani pindi tunapopatwa na matatizo ni lazima tukuambie wewe hata kama ukiamua kujifungia chumbani peke yako na kuacha maagizo kuwa usisumbuliwe na mtu yeyote kwa sababu kuna kazi ya msingi unafanya itatuladhimu kukusubili tu hata kama ni saa nane usiku itabidi tukuambie!

Mheshimiwa rais. Mimi ni kijana niliyemaliza masomo yangu ya shahada ya kwanza mwaka jana katika chuo kikuu kimojawapo hapa nchini! Kama vijana waliowengi nilikuwa na ndoto na mategemeo mengi tu ambayo nikiamua kuyaandika hapa unawezadhani sina akili timamu lakini yote hayo yalikuwa ni ndoto tu!

Mheshimiwa rais! Ajira ndani ya Tanzania hii ni ngumu sana! Japo nina muda mchache sana mtaani ila nimeishaona mazingira ya kuniogopesha! mheshimiwa rais inaogopesha sana pale unapomkuta mtu aliyemaliza chuo mwaka 2010 akiwa bado mtaani anatafuta ajira wakati huo huo wakina sisi tuliomaliza chuo 2011, 2012 na 2013 bado tuna joto la kuzunguka na CV zetu mtaani! huku tukitegemea tena kuongezeka idadi mwezi wa 6 mwishoni mwaka huu!

Mheshimiwa rais! ninaweza kuonekana mzembe na nisiyependa kuushughulisha ubongo wangu badala yake nimekaa tu hapa nangojea kuajiriwa na kwanini nisijiajiri mwenyewe au nisiungane na wenzangu kujiajiri! Lakini ukweli ni kwamba sisi tunaotoka kwenye familia za chini na kati tuna mazingira magumu sana ya kujiajiri tatizo kubwa likiwa ni ukosefu wa amtaji.

Mheshimiwa rais! tunatambua uwepo wa mikopo kwa vijana hasa wale watakaojihusisha na kilimo but process zake zinatufanya tuamini kuwa hiyo mikopo ipo kwenye maandishi tu! sijawahi kuona au kusikia fulani na fulani waliomaliza chuo kikuu wamepokea mkopo toka serikalini! Pia mikopo juu ya fani nyingine tofauti na kilimo ni kama vile hakuna! sasa najiuliza je selikali inataka wote tuliomaliza chuo kikuu tuwe wakulima?!

Mheshimiwa rais! Nadhani pamoja na malalamiko mengi tuliyonayo ila nadhani wizara ya kazi, ajira na maendeleo ya vijana haitimizi wajibu wake! Haiwezekani wizara inayohusika na vijana haina connection na vijana! wizara inayohusika na vijana haijulikani kwa vijana! na hata mpango wa maendeleo wa vijana binafsi nimekutana nao bahati mbaya tu katika harakati zangu za kugoogle! Mheshimiwa rais kwa vile soon unategemea kurekebisha baraza lako la mawaziri hebu jaribu kuiangalia na hii wizara!

Mheshimiwa rais! kulalamika tu haitoshi! nadhani natakiwa kutoa na mapendekezo kidogo! Ajira za kitanzania zinatolewa kiundugu sana hili linatakiwa kukomeshwa mara moja! kuna watu waliwahi kupendekeza ajira za serikalini watu tuwe tunaapply online kama vile watu wanavyoapply vyuo siku hizi kupitia TCU! ndhani hili ni wazo zuri sana na litatoa uwanja wa haki na usawa kwa watanzania wote!

Pili, mheshimiwa rais kuhusu hii mikopo kwa vijana ni kwanini na yenyewe isitolewe kwa kutumia system kama ile ya Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB)?! nadhani matumizi ya system kama ile ya HESLB itasaidia kupunguza urasimu uliopo selikalini!

Mheshimiwa rais! kuna kitu kingine kinaitwa recruitiment agencies!! hawa watu wanatunyonya sana sana sana sana!!!! unapoajiriwa kupitia haya makampuni ni kwamba unafanya kazi kwa almost nusu mshahara kwa maisha yote utakapokuwa umeajiriwa na hawa watu! ninatambua kuwa haya makampuni yanaendeshwa na hiyo sehemu ya mshahara wa hao waajiriwa lakini wanapoamua kukata nusu kabisa ya mshahara tena kwa wafanyakazi zaidi ya 500 tena kwa miaka yote inakuwa sio haki! nadhani serikali yako inabidi iyafuatilie haya makampuni na kuweka uwanja wa usawa na kuondoa huu unyonyaji na kuweka mazingira sawa kwa watu wote yaani muajiri, muajiriwa na huyu mtu wa kati!

mheshimiwa rais! kwa leo yanatosha, naomba nikutakie kazi njema ya ujenzi wa nchi yetu.

Ni mimi;

Ndugu yako.

Naunga mkono hoja 100%,big up
 
Pole sana kijana si wewe peke yako,wapo wengi sana wanaoumizwa na hii kadhia,lakini hili jambo lisiwapelekee nyinyi kusaliti umma kwa kukataa mabadiliko ya ukombozi ambayo mimi na wewe na wengine tunapashwa kuyakubali na kufanya mabadiliko ya kuiondoa CCM madarakani.Ninawaonea huruma sana vijana wengi,baada ya kukosa kazi mitaani wameamua kujiingiza kwenye biashara mbovu sana ya kuipigia debe CCM kwa ujira mdogo sana,kutwa nzima mnashinda kwenye mitandao kuchangia upuuzi ama kukashifu watu wenye nia ya kutaka kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa hawa manyang'au.Kwanza niwaulize mlishaona watoto wa hao viongozi wa CCM wanashinda kwenye mitandao kulumbana na watu kama si nyie mliokosa kazi na kuamua kujiingiza kwenye mambo ambayo yataendelea kuwaumiza nyinyi wenyewe,kwa kutokujitambua.Nina uhakika hakuna hata mtoto mmoja wa viongozi wa CCM wanaokuja kuleta kuchangia mada zenu ama kuwaunga mkono,sanasana wanawacheka ujinga.Mimi nakuombeni mjitambue thamani zenu,ninyi si watu wa kulipwa 7000 ili uharibu maisha yako na kizazi chako chote,kisa 7000 tu.Halazimishwi mtu kujitambua ni hiari ya mtu,kwa sababu mmejitoa akili ili kuwatumikia Mabwana zenu CCM hakika mtalaaniwa ni Watoto wenu na wajukuu zenu kwa mambo mnayoyafanya hapa nchini.Ninafikiri atakaejitambua ataacha kuusaliti umma ulioamua kwa nguvu zote kutaka mabadiliko,na asiyetaka kujitambua ama aliyeamua kujitoa akili kwa ajili ya kupata mlo wa siku nae aendelee kuusaliti umma,ila ajue ipo siku atakuja juta kwa haya anayoyatenda.
 
Ndugu Toothpick, binafsi si mwanachama wa chama chochote na binafsi siamini kama tatizo ni chama chochote cha siasa! Tanzania tuna matatizo makuu mawili yanayotukabili kitu ambacho hata leo tukiwachagua CHADEMA, NCCR au CUF bado tutabaki kwenye haya matatizo!

Matatizo yetu makubwa; kwanza ni mfumo, pili ni kukosekana kwa committed, dedicated and Faithful leaders! Sio kwamba nawatetea au na mimi ni mmoja wapo wa wanaoiunga mkono CCM la hasha lakini ki ukweli hata huko upinzani vijana hasa wasomi tunawasiwasi napo! hebu nisaidie ni chama gani cha siasa cha upinzani chenye mfumo tofauti na wa CCM?! Nioneshe committed, dedicated and Faithful leaders kutoka upinzani!!! Nadhani kitu kikubwa zaidi kwa hivi vyama vya upinzani vinatakiwa vituoneshe na kutuaminisha kuwa vipo tofauti na CCM ki mawazo, kimaneno, kifikra na kimatendo!
 
Pole sana kijana si wewe peke yako,wapo wengi sana wanaoumizwa na hii kadhia,lakini hili jambo lisiwapelekee nyinyi kusaliti umma kwa kukataa mabadiliko ya ukombozi ambayo mimi na wewe na wengine tunapashwa kuyakubali na kufanya mabadiliko ya kuiondoa CCM madarakani.Ninawaonea huruma sana vijana wengi,baada ya kukosa kazi mitaani wameamua kujiingiza kwenye biashara mbovu sana ya kuipigia debe CCM kwa ujira mdogo sana,kutwa nzima mnashinda kwenye mitandao kuchangia upuuzi ama kukashifu watu wenye nia ya kutaka kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa hawa manyang'au.Kwanza niwaulize mlishaona watoto wa hao viongozi wa CCM wanashinda kwenye mitandao kulumbana na watu kama si nyie mliokosa kazi na kuamua kujiingiza kwenye mambo ambayo yataendelea kuwaumiza nyinyi wenyewe,kwa kutokujitambua.Nina uhakika hakuna hata mtoto mmoja wa viongozi wa CCM wanaokuja kuleta kuchangia mada zenu ama kuwaunga mkono,sanasana wanawacheka ujinga.Mimi nakuombeni mjitambue thamani zenu,ninyi si watu wa kulipwa 7000 ili uharibu maisha yako na kizazi chako chote,kisa 7000 tu.Halazimishwi mtu kujitambua ni hiari ya mtu,kwa sababu mmejitoa akili ili kuwatumikia Mabwana zenu CCM hakika mtalaaniwa ni Watoto wenu na wajukuu zenu kwa mambo mnayoyafanya hapa nchini.Ninafikiri atakaejitambua ataacha kuusaliti umma ulioamua kwa nguvu zote kutaka mabadiliko,na asiyetaka kujitambua ama aliyeamua kujitoa akili kwa ajili ya kupata mlo wa siku nae aendelee kuusaliti umma,ila ajue ipo siku atakuja juta kwa haya anayoyatenda.

Wewe f. a.......l......a hem usichefue watu nenda kwenye topic husika.Hawa wa puu.......z unaowatete nakuwaona wanawezakutasaidia ni walafi hakuna mfano,uongo unamwisho wake,wametuongopea na kutuaminisha kwa muda mrefu kwamba wao ni watu wema kumbe ni wanafiki wakubwa.
Wanazalilisha mama zetu,viti maalum hupati havihivi mpaka waku.....,wengine wanapata kidugu,ruzuku na michango yakina sabodo wanajitafunia watavyo.Bora ukae kimya coz unachefua sana.
Unatoka msaada chama kiwe na gazeti laki watu wanataifisha bado tu unataka kutuimbia wimbo gani tukuelewe.
Changia hoja achana na hizi propaganda zako
 
Tatizo ni mfumo,basi kama taifa tukae chini tuweke kanuni na miongozo tujiulize nini kifanyike kukabiliana na tatizo la ajira,mimi nasema kwa kuanzia serikali ifufue viwanda vyote hata vile vilivyobinafsishwa na kugeuzwa maghala na wawekezaji uchwara,kisha tugeukia sekta ya kilimo tuone nini cha kufanya.
 
Back
Top Bottom