Profesa Kabudi hafai Wizara ya Mambo ya Nje

inchaji

JF-Expert Member
Jul 5, 2019
2,420
4,922
Wizara ya mambo ya nje ni nyeti sana inahitaji kuongozwa na mtu smart mtu ambae anaweza kuiuza taswira nzuri ya nchi kwenye medani za kimataifa.

Katika nyakati hizi ambapo utawala wa Dkt. Magufuli unayooshewa kidole na jumuiya ya kimataifa kuna haja sasa ya kuwa na waziri wa mambo ya nje smart ili kutuliza mtizamo huu mbaya wa mataifa ya nje.

Kabudi si aina ya mtu wa kuibrand nchi yetu tatizo la kabudi anawaza na kutenda kumfurahisha Dkt. Magufuli nae anaonekana kuwa ni walewale katika jumuia ya kimataifa.

Kabudi ana kasumba moja ualimu wa hovyo yeye hudhani kuwa akipewa nafasi ya kuzungumza basi ile hadhira anawachukulia kama hawajui kitu na kwa hiyo wanapashwa kujifunza kutoka kwake tabia hii ya kujitia mjuaji si tabia ya waziri wa mambo ya nje.

Kamshauri Magufuli amtafutie kazi nyingine huyu Kabudi hiyo wizara apewe mtu mwingine labda tujadili nani anafaa?
 
1). Tulianza mjadala kwa kuulizwa ningefanyaje? Kuna unationalist ktk swala la sukari issue ikawa unamalizaje tatizo! Nika advice hivyo.
2). Watu wote wanaoingia ningewapeleka karantini it means included na hao wote waliokuja kwa ndege!
3). Tuna uhaba wa ma Dr , hospitals, vitanda, PPE, ventilators! Ningeongeza juhudi kuwekeza huko.
4). Military bases Kuna discipline huko, ni sawa hata nikisema nawaweka uwanja wa karume, sokoine , kirumba,
- lengo langu nisichoshe hospital ambazo tiyari zina over flow!
5). Tutakuwa impacted economically maana mapato yetu yatashuka Sana , tunaweza shindwa lipa mishahara ya wafanyakazi na projects zikasimama, nikasema tutakopa ili tu soften impact ya uchumi, wakati huo huo BoT wa rescue banks pia wa chochee uchumi kidogo, kukopa hata USA wamekopa.
Pia usisahau kuwa nilisema ntazungukwa na watu wanaojua economy practically not in theories, a president is not jack of all trades! But U Rais ni taasisi, get surrounded by good able people na siyo hawa wa ndiyo Mzee!
1. Unawafahamu Economists wote walioko hapa mtandaoni?

2. Good people ni lazima wawe against you katika kila jambo, au wewe uwe huna Idea yoyote juu ya kila kitu?

3. Kwa hiyo wewe ungeacha hali iwe mbaya hadi watu wa Corona wakose vitanda na ventilators na wajae hadi stadiums!.

Hadi sasa wangapi wamekosa hizo huduma unazo mlaumu nazo Rais kwamba kafeli?

4. Kama unaweza ku control Corona kuliko Rais wetu, kwa nini uchumi uanguke kiasi cha kushindwa kulipa mishahara?
Hadi sasa wafanyakazi wangapi wamekosa mishahara kwenye public sector ajili ya Corona?

5. Kupeleka infectious turmoil pandemonium kwenye Military, unataka ku cannibalize!. Kwa maslahi ya nani?

Ukilinganisha hali ambavyo ingekuwa kwenye ur ais wako, na hali ilvyo sasa ni regime ipi ambayo i ngekuwa imefeli vibaya? (Naomba sasa ukijadili, utoe mifano halisi kwamba kwa kutokufanya hiki na kile, hali imekuwa hivi na vile).

Ila kukusamidia, acheni kumchukia raiskwa mambo msiyoyajua. Unamchukia rais, unaseima hafai ameshindwa, basi wewe uwe na solution inayoeleweka. La sivyo mtaonekana watu wasiofaa katika jamii kwa kutaka kueneze chuki, kutengeneza unrest huku hamna suluhisho lililo bora zaidi ama hata la mbadala tu.

Twende kazi.
 
Hii Mbona kama umefanya c&p, umeichukua mahali afu umekuja kuipest humu wakati ujasoma hata kilichoandikwa.
 
Huyu Profesa uchwara Kabudi anaonekana ni Jembe sana kwa Jiwe la Chattle. Itakuwa ni ngumu sana kubadilishwa Wizara huyu kibuyu wazi!
 
Wizara ya mambo ya nje ni nyeti sana inahitaji kuongozwa na mtu smart mtu ambae anaweza kuiuza taswira nzuri ya nchi kwenye medani za kimataifa.

Katika nyakati hizi ambapo utawala wa Dkt. Magufuli unayooshewa kidole na jumuiya ya kimataifa kuna haja sasa ya kuwa na waziri wa mambo ya nje smart ili kutuliza mtizamo huu mbaya wa mataifa ya nje.

Kabudi si aina ya mtu wa kuibrand nchi yetu tatizo la kabudi anawaza na kutenda kumfurahisha Dkt. Magufuli nae anaonekana kuwa ni walewale katika jumuia ya kimataifa.

Kabudi ana kasumba moja ualimu wa hovyo yeye hudhani kuwa akipewa nafasi ya kuzungumza basi ile hadhira anawachukulia kama hawajui kitu na kwa hiyo wanapashwa kujifunza kutoka kwake tabia hii ya kujitia mjuaji si tabia ya waziri wa mambo ya nje.

Kamshauri Magufuli amtafutie kazi nyingine huyu Kabudi hiyo wizara apewe mtu mwingine labda tujadili nani anafaa?

Mkuu unasema prof hafai wakati hiyo ni super sub, FYI huyo ni moja ya “kiungo mshambuliaji” mtegemewa wa kupandisha cross kwenye lango la mabeberu
 
1. Unawafahamu Economists wote walioko hapa mtandaoni?

2. Good people ni lazima wawe against you katika kila jambo, au wewe uwe huna Idea yoyote juu ya kila kitu?

3. Kwa hiyo wewe ungeacha hali iwe mbaya hadi watu wa Corona wakose vitanda na ventilators na wajae hadi stadiums!.

Hadi sasa wangapi wamekosa hizo huduma unazo mlaumu nazo Rais kwamba kafeli?

4. Kama unaweza ku control Corona kuliko Rais wetu, kwa nini uchumi uanguke kiasi cha kushindwa kulipa mishahara?
Hadi sasa wafanyakazi wangapi wamekosa mishahara kwenye public sector ajili ya Corona?

5. Kupeleka infectious turmoil pandemonium kwenye Military, unataka ku cannibalize!. Kwa maslahi ya nani?

Ukilinganisha hali ambavyo ingekuwa kwenye ur ais wako, na hali ilvyo sasa ni regime ipi ambayo i ngekuwa imefeli vibaya? (Naomba sasa ukijadili, utoe mifano halisi kwamba kwa kutokufanya hiki na kile, hali imekuwa hivi na vile).

Ila kukusamidia, acheni kumchukia raiskwa mambo msiyoyajua. Unamchukia rais, unaseima hafai ameshindwa, basi wewe uwe na solution inayoeleweka. La sivyo mtaonekana watu wasiofaa katika jamii kwa kutaka kueneze chuki, kutengeneza unrest huku hamna suluhisho lililo bora zaidi ama hata la mbadala tu.

Twende kazi.
Umeongea kwa jaziba utadhani unataka kuhama nchi!
 
Ukabila tu ndio unambeba uwaziri ni management sio kufundisha notes za vitabu vya sheria.
 
Wizara ya mambo ya nje ni nyeti sana inahitaji kuongozwa na mtu smart mtu ambae anaweza kuiuza taswira nzuri ya nchi kwenye medani za kimataifa.

Katika nyakati hizi ambapo utawala wa Dkt. Magufuli unayooshewa kidole na jumuiya ya kimataifa kuna haja sasa ya kuwa na waziri wa mambo ya nje smart ili kutuliza mtizamo huu mbaya wa mataifa ya nje.

Kabudi si aina ya mtu wa kuibrand nchi yetu tatizo la kabudi anawaza na kutenda kumfurahisha Dkt. Magufuli nae anaonekana kuwa ni walewale katika jumuia ya kimataifa.

Kabudi ana kasumba moja ualimu wa hovyo yeye hudhani kuwa akipewa nafasi ya kuzungumza basi ile hadhira anawachukulia kama hawajui kitu na kwa hiyo wanapashwa kujifunza kutoka kwake tabia hii ya kujitia mjuaji si tabia ya waziri wa mambo ya nje.

Kamshauri Magufuli amtafutie kazi nyingine huyu Kabudi hiyo wizara apewe mtu mwingine labda tujadili nani anafaa?
Sanaa nyingi
 
Hivi yule jamaa ni mtu wa wapi? Pamoja na u Prof wake ila amekaa ki shamba shamba sana.
 
Wizara ya mambo ya nje ni nyeti sana inahitaji kuongozwa na mtu smart mtu ambae anaweza kuiuza taswira nzuri ya nchi kwenye medani za kimataifa.

Katika nyakati hizi ambapo utawala wa Dkt. Magufuli unayooshewa kidole na jumuiya ya kimataifa kuna haja sasa ya kuwa na waziri wa mambo ya nje smart ili kutuliza mtizamo huu mbaya wa mataifa ya nje.

Kabudi si aina ya mtu wa kuibrand nchi yetu tatizo la kabudi anawaza na kutenda kumfurahisha Dkt. Magufuli nae anaonekana kuwa ni walewale katika jumuia ya kimataifa.

Kabudi ana kasumba moja ualimu wa hovyo yeye hudhani kuwa akipewa nafasi ya kuzungumza basi ile hadhira anawachukulia kama hawajui kitu na kwa hiyo wanapashwa kujifunza kutoka kwake tabia hii ya kujitia mjuaji si tabia ya waziri wa mambo ya nje.

Kamshauri Magufuli amtafutie kazi nyingine huyu Kabudi hiyo wizara apewe mtu mwingine labda tujadili nani anafaa?
Kabudi ni ile ile chattle type wako wengi serikalini na ndio maana unaona mambo yakienda mrama. Mkiwaachia miaka 5 ijayo mtalia machozi mengi.
 
Nchi inapitia kipindi kigumu sana. Alafu viongozi tuliokuwa nao wamesahau wanyonge
 
Back
Top Bottom