Profesa Kabudi Akihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Tanzania tumedhamiria kubadili maisha ya watu, Azungumzia pia kuhusu Zimbabwe na DRC

Naunga mkono hoja,Tanzania tusipelekeshwe japo Sijamsikia Kabudi akizungumzia hilo la sovereignty popote!.

Hii ya sovereignty yetu akina sisi tumeizungumza sana humu.

Ia pia hili jamaa lina more presidential personality kuliko mwenyewe, linaongea kwa confidence huku liki flow hii lingua ya mayai, unadhani ndio vernacular yake, yaani kama vile ndio native language yake or 1st language yake!.

Ingekuwa sio ule utaratibu wa kupokezana, then huyu jamaa ndio angempokea Magufuli 2025.

Prof. Kaburi amepresent kwa oratorio presentation in English, na kwa Tanzania, Kabudi ndie mtu wa pili mwenye kipaji hicho zaidi ya Dr. Agustine Mahiga. Simaanishi Tanzania hatuna viongozi wengine wenye uwezo na kipaji cha oratorio presentation in English, inawezekana wapo wengi, ila niliowasikia mimi ndio hao wawili.
P
 
Back
Top Bottom