Ni kweli lakini si kweli.Kwani ameshakuwa mbunge?
Si ameomba ridhaa kama wengine? Na kama wananchi hawamtaki si wanamnyima kura tu...
Ni kweli lakini si kweli.Kwani ameshakuwa mbunge?
Si ameomba ridhaa kama wengine? Na kama wananchi hawamtaki si wanamnyima kura tu...
Kumbe alishavuka 60?Hata UD alikua kashastaafu alikua kijijini anahubiri injili kama babaake
Sasa hapo unakosa hoja mkuu,kutakuwa na sanduku la kura,wananchi wasipomtaka wanamnyima kura tu,lakini wakimpa kura then wewe ukapiga kelele huku,hata haisaidii mzeeNi kweli lakini si kweli.
Kumbe alishavuka 60?
Kafosi kuonekana wa kilosa ila si wa kilosa, juzi Rais anawaambia wana kilosa mwanenu huyu nani..nani professa nani ( anajifanya hajui) wakamjibu profesa J
Hivi huyu asili yake ni wa mkoa wa Morogoro au Dodoma?
Hivi huyu asili yake ni wa mkoa wa Morogoro au Dodoma?
Huo mshati!
Sasa yeye na Kilosa wapi na wapi?Acha hizo bhana,kwa hiyo kumchagua prof.Kabudi ni uzuzu?
Mzee wa Jalalani akiendelea na kismart chake anaweza kupeperusha Bendera 2025 ...... Maana inaelekea Yohana anamuhusudu sana!!Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi-CCM kuwania ubunge jimbo la Kilosa.
Pia soma > Uchaguzi 2020 - Wananchi wa Kimamba wamhakikishia Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Atangaza nia
Siyo Mgogo. Ni wa Singida Ni mtoto wa Askofu... Labda alizakiwa au kukulia huko.Ninavyojua huyu Professor ni Mgogo na Kilosa ni ya Waluguru, kulikoni? Au Kilosa nayo ni kama majimbo ya Dar es Salaam?
Mwenye kujua siri ya urembo atujuze tafadhali.
Kwani katiba ya JMT inazuia wagogo kugombea Kilosa?Ninavyojua huyu Professor ni Mgogo na Kilosa ni ya Waluguru, kulikoni? Au Kilosa nayo ni kama majimbo ya Dar es Salaam?
Mwenye kujua siri ya urembo atujuze tafadhali.
Mkuu umepotea sana. Morogoro yapo makabila mengi tu na mengine pengine huyafahamu. Vile vile Dodoma kuna makabila mengi tu licha ya Wagogo. Mfano Dodoma kuna Warangi hawa wapo wengi Wilaya ya Kondoa lakini wapo kila sehemu mkoani Dodoma, Wagogo wapo, Waruguru wapo, Wahehe wapo hasa sehemu za Wota, Kibakwe, Mpwapwa, Kilosa, Mbuga, wanging'ombe nk. Wakaguru wapo Mlali na mipakani mwa mkoa wa Morogoro. Wamasai wapo vile vile sehemu za Pandambili kuelekea kaskazini kupakana na Arusha nk. Dodoma ina makabila mengi sana lakini wengi ni Wagogo.Ninavyojua huyu Professor ni Mgogo na Kilosa ni ya Waluguru, kulikoni? Au Kilosa nayo ni kama majimbo ya Dar es Salaam?
Mwenye kujua siri ya urembo atujuze tafadhali.