Profesa Jay vs Diamond Platnum

Profesa Jay vs Diamond Platnum

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,374
CCM wanaamini kwa kuwa Diamond Platnum kwa sasa yuko juu kimuziki atawasidia sana kwenye kampeni tena hususani kwenye kukusanya watu wengi kwenye mikutano ya kisiasa.

Lakini nawadhibitishia kuwa Profesa Jay atanyakuwa ubunge na atawainua sana UKAWA kuingia ikulu sababu za kusema hivyo ninazo.
 
uandishi wa habari mgumu na ni taaluma! Ungekuwa mhariri wewe, sijui tu
 
Ukiulizwa utasikia Nina shahada ya kwanza ya IT kutoka udsm. Kuandika hola. Hueleweki.
 
Sababu ni kuwa diamond anakipaji cha kuhimba lkn karama ya uongozi hana,pr jay na agande sele wanavyo vyote viwili

Kuhimba=kuimba
Lkn=lakini
Agande=Afande

Haya twende kazi lendila
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom