Profesa j wala hata si profesa

1.Solo Thang wala si solo.
2. Watengwa wala hawajatengwa.
 
Mnazicha (wala ) mleta uzi kanogesha nazo


Bishororo wala sio bishoow
 
wachangiaji hapo juu hata sio wa mafanikio, ni wa msibani wanasubir mtoa mada afe ndo wachangie makumi elfu.
 
Dogo janja wala sio dogo anajifanyisha tu ndo maana kaoa bibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…