Anapenda sana kula huyo, hata huyo mwenye kofia kama mpandafarasi wa kiajentina, huyo naye keshakuwa mswahili. We angalia hiyo picha vizuri utaona majicho ya profesa yapo kwenye sahani ya mtu mwingine. Pale anawaza ''huyu jamaa kapewa nyama mimi nimepewa kidogo, mfumo Kristo huu''