Profesa Asiye na Makuu

Profesa Asiye na Makuu

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Mpenda watu na hana makuu, gonga LIKE ikiwa umependa anavyojichanganya............Hebu fikiria ingalikua Mkulu au Obama.............(hadi kugonga menyu)
li4.jpg
 
View attachment 101042

kwi kwi kwi kiw kwi kwi kwi kwi nimecheka sana hawa jamaa kwa kupenda wali balaa naona jamaa anamuagiza mshkaji kuwa amesahau pilipili na ndizi zake kwenye gali akamletee ha ha ha ha ha ah
 
una balaa ww
 
hahahhahahahahahahahahahha mbona profesa wa wali ooops wa Lipuuuuumbaaa anakula wali ka anameza dawa chungu??? halafu huyu shekhe wa mbele kushoto alievaa kama brown mpauko mbona anaficha maji ya kunya kwenye makalio????
 
Mbona wote wanaonekana wanakula hv kwenye matukio tu tunataka kuona wakifanya hivyo wakiwa kawaida tu kwenye misele yao ya kila siku SIASA TU HAPO.
 
hahahhahahahahahahahahahha mbona profesa wa wali ooops wa Lipuuuuumbaaa anakula wali ka anameza dawa chungu??? halafu huyu shekhe wa mbele kushoto alievaa kama brown mpauko mbona anaficha maji ya kunya kwenye makalio????
kuna ndizi hapo anaibana
 
hahahhahahahahahahahahahha mbona profesa wa wali ooops wa Lipuuuuumbaaa anakula wali ka anameza dawa chungu??? halafu huyu shekhe wa mbele kushoto alievaa kama brown mpauko mbona anaficha maji ya kunya kwenye makalio????
dah, una jicho kali sana, nadhani anaji-balance
 
umeangalia hot pot la prof?kafuta lote kabisa na wala jafunika kwa tamaduni za kigeni ukiacha chombo wazi hivyo ina maaana hujatizika unataka kuongezwa zaidi.
 
sawa kabisa mkuu, haloafu ni kama bado anadai, namuangalia Mtatiro anaonekana hana uzoefu kabisa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom