Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,568
- 13,543
Nimeshangaa sana prof Wa psychology kuwa katibu Mkuu Wa wizara ya maji.
Kwa ninavyojua Mimi katibu ni mtendaji siyo sawa na waziri. Lazima technical knowhows zooze azijue ili asidanganywe sasa iweje prof kitila achaguliwe kufanya kazi kitu ambacho hajasomea?
Jami hili li nchi vipi? Mbona mambo hayaeleweki? Labda angeenda kuwa katibu Mkuu wizara ya elimu mana huko kunamfaa.
Tutegemee majanga wizara ya maji mana inaendeshwa na kusimamiwa na mbumbumbu persee.
Hivi kweli engineers hawapo au alitaka kuridhisha akina zito ili wasiiangushe serikali yake. Mi nahama nchi kwa kweli kichaa kisha pewa rungu.