ninao uhakika kwamba TIBAIJUKA ndiye waziri mbovu kuliko wote waliopo .
Mdee amebwabwaja tu na kelele nyingi zisizo na mantiki .
Mhhhh!!!!!!!!!! Sijawahi fungua huku nikakukosa. Kila post iwe udaku wewe upo tu. CCM wamekupa tenda nn mamaa ili na mm nijiunge angalau naweza badilisha upepo wa maisha.
La nne la zamani
matokeo yake ni kama ifuatavyo;
Hisabati 0%,
Sayansi 0%
Mwandiko. 10%
Siasa 88%
Sayansi kimu & Mapishi 67%
Makombora gani ule ushuzi Wa halima au?
Makombora gani ule ushuzi Wa halima au?
Makombora gani ule ushuzi Wa halima au?
Jamani wapinzani kuweni na huruma sometimes, makombora mliyoyapiga leo kwa huyu mama yalikuwa ni makali sana nadhani professa atalala yleo akiwa hoi na huenda mmemsababishia matatizo ya kiafya, ila haya nimatokeo yakupeana vyeo ngoja yawapate. Aibu kwa chama tawala.
Naishauri serikali ya ccm ijiuzulu kabla mambo hayajaharibika.
Mkuu inawekana ni mzuri ila watendaji wake ni wachafu, zaidi amekuta uozo ambao imekuwa ni ngimu kuupatia ufumbuzi kwa asilimia 100.
Ufisadi gani ulioibuliwa zaidi ya malalamiko ya kisauti?