ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,529
Indeed!Shetani at work
Indeed!Shetani at work
Alafu humu yamejaa tele! Yashindwe milele yote!Shetani at work
They will not compromise their right for the sake of one side to win! That is my interpretation anyway! If the win win situation is to pay 300 trillion, then they will pay and VICE VERSASo far it's not a win win situation, so a good statement from the Executive Chairperson.
Never know labda baba/mama /kaka/dada wangelikuwa wa kwanza kukatwa vichwa, never say so, hujui atakayeangukiwa ni nani anayekuhusu. HAKI ITENDEKEHapa ndipo unapo wish tungekuwa na serikali kama ya wachina!
Hawa lazima wangekuwa wa kwako kwa sababu ya kupenda kusafisha watu!Never know labda baba/mama /kaka/dada wangelikuwa wa kwanza kukatwa vichwa, never say so, hujui atakayeangukiwa ni nani anayekuhusu. HAKI ITENDEKE
Na mama yako chooni ninayeHawa lazima wangekuwa wa kwako kwa sababu ya kupenda kusafisha watu!
Hakuna dhambi kubwa kama kuifilisi nchi yako kiasi hicho! Alafu majitu yenyewe yamepewa peanuts compared na hao wazungu walivyo beba! Hiyo ni LAANA ya hali ya juu! Sasa wewe na akili yako kama ya inzi ni kupenda kubisha kila kitu! HAYA KIMBILIA CHOONI RETIRED!
Mkuu lugha ni tatizo kubwa.napia kikiiii inatafutwaWaswahili wamesha sema jamaa wameamua kulipa... kiingereza jamani...
Teh tehUkute aliye andika Press Release hajui lugha iliyotumika
Au Rais hakuelewa lugha iliyotumika
Au Rais kataka kutudanganya kuwa amekubali kulipa
Ukimsikiliza jamaa wa Barrick karudi mara 2 kuwa win win situation
Ushahidi?Nia ilikuwa kujiridhisha..tumejiridhisha kuwa walitulalia....je waendelee hivyo hivyo....Nadhani Hapana...Mungu ametufungulia mlango tena mpana na wa kufaa sana.
Kwani mnafahamu walichojadili ndani jamani. Tusubir matokeo. Manake ata mwanzo kuna ambao walisema kua rais atalitia taifa hasara kwa kuzuia mchanga leo hii mzungu kaja mwenyewe. Mmekuja na hoja nyingine za kukebehi. Ombi langu. Vijana tue calm hili ni taifa letu ote sio la chama chochote eti mnaanza leta hoja za lugha hao waliokua wanajua kingereza vizuri wamelifanyia nn taifa zidi ya kutufanya kama makapuku na watu kufa kwa kukosa dawa mahospitalini. AKILI HAIPIMWI KW LUGHA.Teh teh
Halaf wewe jamaa.
Mimi pia kabla ya kumsikia huyu prof wa Barick na Pres Magufuli nilidhani wamekubali kulipa kwa mujibu wa press release ya Ikulu. Kumbe Msigwa nae kawa msanii. Apunguze maneno na mbwembwe za uandishi azingatie uhalisia
Time will tell. Ikiwa Ni pamoja na ujio wa boss wa BGMUshahidi?
I entirely agree with you mkuu. Siasa tumeweka mbele kuliko maendeleoMazungumzo yatalenga win win situation. That's all I can say. Naheshimu hapo alipofikia mh rais. Mwezi mmoja nyuma hatukuwa hapa, lakini sasa tuna pa kuanzia. Halafu tunabeza kama ilivyogeuka kuwa desturi ya hiki kizazi cha nyoka. Siasa zimetutia upofu kiasi kwamba hatuoni. Taifa limemeguka vipande vipande
Hahahahaha! Na media karibu zooote zimeimba hivyo!Waswahili wamesha sema jamaa wameamua kulipa... kiingereza jamani...
Kweli kabisaHatimaye wasomi wanaanza kuwa na value wanayotakiwa kuwa nayo!
Kisheriamfasiri
Mkuu mimi sijakebehi ila nasema Mwandishi wa rais kapotosha kwenye press release yake.Alichokiongea Magufuli na yule professor wa Barrick ndio kiko sahihi.Kwani mnafahamu walichojadili ndani jamani. Tusubir matokeo. Manake ata mwanzo kuna ambao walisema kua rais atalitia taifa hasara kwa kuzuia mchanga leo hii mzungu kaja mwenyewe. Mmekuja na hoja nyingine za kukebehi. Ombi langu. Vijana tue calm hili ni taifa letu ote sio la chama chochote eti mnaanza leta hoja za lugha hao waliokua wanajua kingereza vizuri wamelifanyia nn taifa zidi ya kutufanya kama makapuku na watu kufa kwa kukosa dawa mahospitalini. AKILI HAIPIMWI KW LUGHA.
Hii English umejifunzia wapi?So far it's not a win win situation, so a good statement from the Executive Chairperson.