Prof. Thornton(Executive Chairman Barrick): I feel optimistic that we will reach a resolution

Juzi; Barrick/Acacia wezi, wanatuibia pesa zetu, nih kampuni hewa.., tumerogwa na nani!?

Leo; hawa Barrick/Acacia wanaume kweli-kweli, tumeongea nao, tutafanya nao biashara.
————————————————————————————

Sisi.., hatuna tofauti na wale wadudu wenye vichwa viwili, nyuma na mbele.., wanaitwa 'Earthworms', a tube-shaped, segmented worm found in the phylum Annelida...
 
Ukiona mkoloni ameamua "kuyaongea" na sio "kuwashitaki"....ujue ameshikwa pabaya....hongera rais kwa kuchukua drastic measures...
Nimeamini... "sadism is inevitable when the situation is alarming".....
Washitaki kwani mmevunja mkataba? Halafu usifikiri wazungu wana akili za kenge kama nyie kukurupuka hovyo
 
Teh teh
Halaf wewe jamaa.

Mimi pia kabla ya kumsikia huyu prof wa Barick na Pres Magufuli nilidhani wamekubali kulipa kwa mujibu wa press release ya Ikulu. Kumbe Msigwa nae kawa msanii. Apunguze maneno na mbwembwe za uandishi azingatie uhalisia
Sio kosa la msigwa , yeye ni mtekelezaji tu wa maelekezo ya bosi wake.

Bosi wake lugha ya malkia imemuacha njia panda akaamua kuja kuwa hongopea watanzagiza wasojitambua.
 
Back
Top Bottom