Dr Slaa ni kama mtume Chadema marufuku kulinganishwa na binadamu yeyote.
Dr Slaa ni kama mtume Chadema marufuku kulinganishwa na binadamu yeyote.
wani mifumo inatoka mbinguni si inatengenezwa na watu. Kama watu hawana tatizo kwa nini mifumo wanayoisimamia iwe na matatizo?
wao wanatumia Ms DOS 6.0 na imecorrupt -- sasa sisi tunataka kuformat tu-install Red Hat - Linux 6.2 ambayo ni vigumu mno kuingiliwa na virusi kama masalia na aina nyingine ya virusi hatari kama MP7. Pia ina graphical interface so its user friendly.Tatizo la nchi sio mtu ni CCM hata slaa akiwa rais kupitia ccm hamna maendeleo ndi maana tunataka kuformat tuweke operating system mpya ambayo ni Chadema
Ni sawa na Mawaziri wote wa Kikwete katika lipi. Kufikiri au kutenda?
Mbona watu hawataki kuelewa ujumbe wa Ritz, au ni kwa sababu ya macho na akili kuzibwa na kiwiliwili cha Dr. Slaa.
Ritz ana maana kwamba, Dr. Slaa ni mtume ndani ya CHADEMA, nothing more
Watu wanaokataa kuuliza maswali ndiyo hutawaliwa kijinga na mafashisti huku wakiwaimbia nyimbo za kuwasifia. wewe kama ungekuwa na uwezo ungejibu maswali yaliyoko kwenye hili bandiko!!Avatar yako na uzi wako kama vile vinaendana,ndo maana unauliza majibu mwanzo mwisho,
Mbona umechakachua Post yangu??
Wile Gamba,Huyo muhongo ata akigombea peke yake simchagui, sioni chochote cha maana anacho fanya, kazi kutafuta huruma ya wananchi. Siyo siri nchi hii watu wanaichezea sana! Mi naona muhongo ni tatizo kubwa tu, labda kwasababu anatinmiza itikadi hizo CCM
Bado tu unajiita freshthinking kwa huu ----- unaoleta humu JF ???.
Je kuna mahali popote mleta mada kamtaja Zitto?????
Kama unampenda sana Ndg Zitto oana naye.
siku nyingine acha kutuchafulia mada anzisha ya kwako.