Prof. Sospeter Muhongo VS Dr. Peter Slaa 2015!!

Kwani huwezi kujenga hoja bila ya kutumia lugha ngumu? Ni chama gani Tanzania viongozi wake wanafuata sera zake?
Kama hawafuati sera za vyama vyao hawafai na wanapaswa kuwajibishwa! Nasisitiza kuwa kiongozi bora ni yule anayefuata na kuzingatia miongozo waliyokubaliana na siyo kufuata matakwa yake!
 
Kama hawafuati sera za vyama vyao hawafai na wanapaswa kuwajibishwa! Nasisitiza kuwa kiongozi bora ni yule anayefuata na kuzingatia miongozo waliyokubaliana na siyo kufuata matakwa yake!

Hata mimi nakubaliana na wewe kwamba viongozi wasiofuata sera za vyama vyao hawafai. Lakini hapo unapotaja "viongozi" si unataja watu?? Unadhani mtu mzuri hawezi kubadili taasisi mbovu kuwa nzuri?
 
Huu uzi mbona umekaa kimagamba magamba?
 
Kuendelea kuzungumza kuhusu ccm kuendelea kushika uongozi wa nchi hii kwa kisingizio cha usafi wa mtu mmoja mmoja ni SAWA NA KUPAKA RANGI NZURI SANA NYUMBA YA MATOPE. CCM ni sawa na nyumba ya matope, swala si kuipaka rangi mpya bali ni kuivunjilia mbali na kuanza ujenzi upya, Kuwepo na chama kipya cha kuongoza nchi hii ndio suluisho. Dr. yupo vizuri.
 
Hata mimi nakubaliana na wewe kwamba viongozi wasiofuata sera za vyama vyao hawafai. Lakini hapo unapotaja "viongozi" si unataja watu?? Unadhani mtu mzuri hawezi kubadili taasisi mbovu kuwa nzuri?......

Hawezi kubadili taasisi mbovu kuwa nzuri kama ina sera mbovu! Ataweza kubadili endapo atawashawishi wenzake kubadilisha sera kuwa bora au ziendane na matakwa ya jamii!
 
Unalinganisha watu wawili tofauti kabisa, huyo muongo hafai kabisa hata kwenye hicho cheo alicho nacho kwa sasa, yupo hapo kwa sababu ya serikali ya kishkaji tu la sivyo tayari yupo nje, leta mwingine maana siku hizi ni ........Vs Dr Slaa.
 
Unaamini kwamba kila aliyeko CCM ni tatizo na kila aliyeko CHADEMA ndiye suluhisho??......

Tatizo sio mtu ndio maana hata slaa akiwa rais kupitia ccm hamna maendeleo.
 
kama tatizo sio watu ni ccm; hebu nambie ccm kama chama tatizo lake ni nini(ukiweka mbali watu ambao unasema si tatizo)......?

MFumo mzima wa UOngozi wa ccm ni mmbovu na ndo maana tunataka mfumo mpya ambao ni chadema
 
Urais ni zaidi ya kupiga kelele majukwaani na kutoa ahadi ambazo kibinafsi hata huzitekelezi.

Urais ni zaidi ya kupenyeza hoja ili kupata umaarufu na huruma katika jamii kwa manufaa ya kibinafsi.

Urais ni kutumikia wananchi na siyo kuwatumia kwa manufaa binafsi.

Kuongelea watu ambao hata uwezekano wa kusimamishwa kuwa wagombea urais haupo ni kubaka hekima na busara tulizopewa na Mola bure.
 
Tatizo la nchi sio mtu ni CCM hata slaa akiwa rais kupitia ccm hamna maendeleo ndi maana tunataka kuformat tuweke operating system mpya ambayo ni Chadema.......

Dah yani umenena ukweli usio na shaka yoyote, tena kama operating system ilikuwa 32 bit tukibadili tunaweka 64 bit magamba yametuchosha yanatuletea joto hatuna budi kuyavua.
 
Uhovyo wangu ni kwa kulitaja jina la Muhongo? Muhongo majibu yake kuhusu Gesi uliyasikia?......

Kabisa" hivi Muhongo ni wa kumlinganisha na Dr Slaa kweli?kwanza muongo kama jina lake,ametuongopea hakuna mgao wa umeme Tanzania wakati kwa sasa kuna mgao na kutangaza hawataki.

Sikia kusanya mawaziri wote wa serikali ya JK changaya akili zao na fahamu zao zote,bado hawawezi
kucompete na Dr Slaa. Hivyo hoja yako ni sawa kushindanisha Nazi na jiwe"
 
Inawezekana mleta maada ndo muhongo mwenyewe!
 

Bado tu unajiita freshthinking kwa huu ----- unaoleta humu JF ???.
Je kuna mahali popote mleta mada kamtaja Zitto?????
Kama unampenda sana Ndg Zitto oana naye.
siku nyingine acha kutuchafulia mada anzisha ya kwako.
 
Dr Slaa ni kama mtume Chadema marufuku kulinganishwa na binadamu yeyote.
 
Unfair comparative question, how can you dare to compare KIFO NA USINGIZI? wewe kasome ualimu ujue jinsi ya kulinganisha......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…