Am sorry but every time when i See this Prof. I remember about his wife.
He is very dangerous, a murderer i wonder why he is a minister while we all know that he kill his wife just because he doesn't love her anymore.
Mleta mada nadhani anapaswa kufanya upembuzi yakinifu. Yeye anataka kudandia hoja jujuu kujipatia yeye na chama chake umaarufu wa kisiasa. Nasema chama chake maana ametaja ccm kama chama cha mhongo. Pili atambue CHADEMA wanashabikia majimbo au kwa maneno mengine kanda na siyo mikoa au wilaya au vijiji kwa hiyo asidhani wala asitegemee ikichukua nchi 2015 basi gesi itatumika mtwara pekee.
Sasa nije niweke mezani nilichokipata baada ya utafiti mdogo sana. Hili swala wanasiasa wanalidandia tu juujuu lakini wenye ajenda ni wafanyabiashara waliozoea kijineemesha kwa udhaifu wetu sisi wananchi wa kuangalia vitu hapa usoni badala ya kuona mbali. Wafanyabiashara hao ni IPTL ambao kimsingi wanaamini kuwa gesi hiyo ikifika Dar es Salaam basi biashara yao ya kuilaghai TANESCO itakua imekufa. Na tutambue wazi hawa jamaa wanaingiza si chini ya bilioni 3 na kimsingi kinachotumika halali ni 2bilion tu. Wengine ni Symbion ambo hata sitaki kusema sana inajulikana wazi mradi waliourithi toka Richmond na kubarikiwa na Mama Clinton alivyokuja hapa. Wengine hao kina Agreco na wenzao ambao wanatambua wazi ujio wa gesi hiyo tayari ni faida kubwa kwa wananchi na ni hasara kubwa kwao.
Lazima ndugu zangu tuelewe kuwa Matajiri wa Madini, gesi, mafuta, unga, silaha, chemikali, kuuza binadamu na majambazi wa kimataifa wanamtandao mpana sana na wengine wanalindwa na nchi zao ambazo zina uwezo mkubwa wa kifedha na usalama wa taifa. Tukumbuke ya Sadam, Gadafi na wengineo si kwamba Marekani na mabeberu wengine wana uchungu nao bali wafanyabiashara wa marekani ndiyo wanaolindwa na nchi zao na kuhakikisha biashara inaleta faida kwa nchi husika. Mbinu zote chafu na nzuri hutumika katika kuhakikisha maslahi yao yanafikiwa kwa kiwango cha hali ya juu, tena hutumia wanasiasa mashuhuri, viongozi wa serikali, wanausalama kama TISS, polisi na hata majeshi. Hivi hatuoni filamu za kina jack chain na Blood Diamond nk hizi zote zina portray ya reality of what is going on in this world.
Hayo ni mawazo yangu. Usalama wa Taifa wanaweza kufuatilia kwa umakini na kupata ukweli wa hili.

Mh! Zahra White ni kweli hayo uliyosema?
hivi inawezekana sasa tunaanza kugawana rasilimali.Ndugu yangu gfsonwin kuna watu wengi sana inabidi wawe magarezani, lakini udhaifu uliopo ndiyo hao mawaziri na viongozi wa juu hapa Simtaji Kinana peke yake, akina Chenge, Malecela, Lowassa, Jairo, Ekerenge, Blandina Nyoni etc etc
etc etc
Kinachotatiza Mtwara sio mradi wa gesi bali mchakato uliopelekea mpaka tunafika kwenye mavuno ya gesi katika kufanya maamuzi ya uvunaji, usimamizi na mgao wa mapato haieleweki wananchi wa eneo husika watafaidikaje. Ingawa sitoki Mtwara, lakini naamini kuwa kulikuwa na haja ya haya mambo pia kuwekwa wazi badala ya kufanya kama kile kinachotokea kwa wenzetu wanyamwwezi na wasukuma ambako dhahabu na almasi za nchi hii zinavunwa kwa wingi na kufaidisha hata wakenya wakati wao hata lile pato la taifa bila shaka wanambulia kupewa kwa ahadi za kisiasa tu
Alifungulia mbwa wakamla muke yake aliliwa na mbwa mpaka akafa halafu yeye anashuhudia na kushangilia mama kupiga kelele watu kuja kumuokoa na kumpeleka hospital it was too late
Waziri wa nishati na Madini Prof Dr Sospeter Muhongo, tunakuomba ujiudhulu nafasi uliyo nayo sababau umeshindwa kabisa kuiongoza wizara. Vurugu zilizotekea Mtwara kupelekea kuuwawa kwa wananchi na uharibu wa mali za serikali na raia ni ushahidi tosha unahusika. Kulazimisha Gas ije Dar es Salaam kufurahisha wakubwa zako (KInana na wingine) bila kujali wananchi wazawa wa Mtwara ni udhaifu wa kiuongozi. Hili suala kutizamwa kisiasa kuliko uhalisia utaigharimu serikali ya CCM. Tafadhali jiudhulu kuepusha madhara zaidi maana jina lako tayari limeingizwa kwenye historia Prof asiye na uwezo wa kufikiri na kuamua.
Mch Masa Safarini Mtwara
ujiuzulu kwanza wewe mchungaji kwakushindwa kutuliza munkairi wa waumini wako mpaka kupelekea uvunjifu waamani,kwani solution ni mpaka uharibu mali na ufanyevurugu...!!!
Hivi, tushaanza kugawana rasilimali kimajimbo?
Ndugu unaugomvi na UAMSHO? Rudi kwenye Mada, Mulongo has to go
serikali hupanga mipango yake haipangiwi na watu tafuta serikali yako ambayo itakuwa inapangiwa na wananchi.