Waziri wa nishati na Madini Prof Dr Sospeter Muhongo, tunakuomba ujiudhulu nafasi uliyo nayo sababau umeshindwa kabisa kuiongoza wizara. Vurugu zilizotekea Mtwara kupelekea kuuwawa kwa wananchi na uharibu wa mali za serikali na raia ni ushahidi tosha unahusika. Kulazimisha Gas ije Dar es Salaam kufurahisha wakubwa zako (KInana na wingine) bila kujali wananchi wazawa wa Mtwara ni udhaifu wa kiuongozi. Hili suala kutizamwa kisiasa kuliko uhalisia utaigharimu serikali ya CCM. Tafadhali jiudhulu kuepusha madhara zaidi maana jina lako tayari limeingizwa kwenye historia Prof asiye na uwezo wa kufikiri na kuamua.
Mch Masa Safarini Mtwara
hivi kwani Prof Muhongo alikuja katika hii wizara akakuta mradi tayari ama alikuta bado?? hivi kwann usiseme kwamba liwajiabishwe bunge lote ambalo wao ndio waliounga mkono hoja ya mradi kuwepo??
je waliposema mradi uwepo na uanze walishaufanyia tathmini stahiki?? je kabla ya project implementation waliwashirikisha wananchi wakajua wananchi wanataka nini??
je wafikiri angekuja na jibu gani ilihali pesa nyingi zimeshachimbiwa chini kwenye ujenzi wa mabomba?? je viongozi na hawa wananchi wa mtwara wakiongozwa na wabunge wao walikuwa wapi wasitoe madukuduku yao kabla ya mradi kuanza ili wahoji watafaidika je na watoe mawazo yao wanataka mradi uweje??
kimsingi ningekuwa mm ningeanza na wabunge na viongozi hadi wa kata na vijiji wa mtwara as wao walikuwa ni watu muhimu sana wa kusema wanataka mradi uweje na kwann hawakusema haya kabla ya mradi kuanza.
kwa nini wasisimamishe ujenzi wa bomba mpaka sera ya gesi ikamilike? mambo ya hila yanawarudi ccmhivi kwani Prof Muhongo alikuja katika hii wizara akakuta mradi tayari ama alikuta bado?? hivi kwann usiseme kwamba liwajiabishwe bunge lote ambalo wao ndio waliounga mkono hoja ya mradi kuwepo??
je waliposema mradi uwepo na uanze walishaufanyia tathmini stahiki?? je kabla ya project implementation waliwashirikisha wananchi wakajua wananchi wanataka nini??
je wafikiri angekuja na jibu gani ilihali pesa nyingi zimeshachimbiwa chini kwenye ujenzi wa mabomba?? je viongozi na hawa wananchi wa mtwara wakiongozwa na wabunge wao walikuwa wapi wasitoe madukuduku yao kabla ya mradi kuanza ili wahoji watafaidika je na watoe mawazo yao wanataka mradi uweje??
kimsingi ningekuwa mm ningeanza na wabunge na viongozi hadi wa kata na vijiji wa mtwara as wao walikuwa ni watu muhimu sana wa kusema wanataka mradi uweje na kwann hawakusema haya kabla ya mradi kuanza.
kwa nini wasisimamishe ujenzi wa bomba mpaka sera ya gesi ikamilike? mambo ya hila yanawarudi ccm
wakiungwa mkono na watu wa kanda nyingine itakuwaje?Shida iliyopo wajanja wameisha gawana chao. Gharama za ujenzi imekuwa inflated 4 times. Liwalo na liwe bomba litajengwa kwa gharama za maisha wa wanamtwara
kwa nini wasisimamishe ujenzi wa bomba mpaka sera ya gesi ikamilike? mambo ya hila yanawarudi ccm
Masanilo kwa staili hii, wizara ya nishat na madini haitakaa ipate waziri period.Mulongo ndiye waziri mwenye dhamanama, collective responsibility aanze yeye...wabunge wa CCM ni tatizo lingine
Masanilo kwa staili hii, wizara ya nishat na madini haitakaa ipate waziri period.
ifike mahali watu wawajibishwe kwa makosa yao ya nyuma hata kama hawapo madarakan kwa sasa.
hivi kwani Prof Muhongo alikuja katika hii wizara akakuta mradi tayari ama alikuta bado?? hivi kwann usiseme kwamba liwajiabishwe bunge lote ambalo wao ndio waliounga mkono hoja ya mradi kuwepo??
je waliposema mradi uwepo na uanze walishaufanyia tathmini stahiki?? je kabla ya project implementation waliwashirikisha wananchi wakajua wananchi wanataka nini??
je wafikiri angekuja na jibu gani ilihali pesa nyingi zimeshachimbiwa chini kwenye ujenzi wa mabomba?? je viongozi na hawa wananchi wa mtwara wakiongozwa na wabunge wao walikuwa wapi wasitoe madukuduku yao kabla ya mradi kuanza ili wahoji watafaidika je na watoe mawazo yao wanataka mradi uweje??
kimsingi ningekuwa mm ningeanza na wabunge na viongozi hadi wa kata na vijiji wa mtwara as wao walikuwa ni watu muhimu sana wa kusema wanataka mradi uweje na kwann hawakusema haya kabla ya mradi kuanza.
Kinachotatiza Mtwara sio mradi wa gesi bali mchakato uliopelekea mpaka tunafika kwenye mavuno ya gesi katika kufanya maamuzi ya uvunaji, usimamizi na mgao wa mapato haieleweki wananchi wa eneo husika watafaidikaje. Ingawa sitoki Mtwara, lakini naamini kuwa kulikuwa na haja ya haya mambo pia kuwekwa wazi badala ya kufanya kama kile kinachotokea kwa wenzetu wanyamwwezi na wasukuma ambako dhahabu na almasi za nchi hii zinavunwa kwa wingi na kufaidisha hata wakenya wakati wao hata lile pato la taifa bila shaka wanambulia kupewa kwa ahadi za kisiasa tu