Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,094
sasa ni wakati muhafaka kwa wawekezaji wa ndani hasa ""prof.Reginald mengi"" kutuvua aibu hii watanzania eti kwamba hatuna uwezo wa kuwekeza ktk miradi mikubwa,ombi langu admitance fee kwa wazawa iwe affordable and reasonable isiwe sawa na wageni
NAPENDA KUMPONGEZA PROF. S MUHONGO KWA UFAFANUZI WAKE MAKINI JUU SUALA ZIMA LA VITALU,MAFUTA NA GESI, LA MNO KUBWA ZAIDI NI KWA MTANZANIA YEYOTE AMBAYE ANAONA ANAUWEZO WA KUMILIKI VITALU AFIKE OFiSINI JUMANNE SAA 3 ASB,AKIWA NA VIGEZO VYOTE STAHILI,KAZI KWENU
Prof mhongo nizaidi ya udk wa slaa na uprof wa lipumba
yupo vzuri
alikuwa akiandika pepa ulaya maendeleo ya sayansi yatakavyo kuwa miaka elfu 3 ijayo
kabla ya kulalamika soma uelewe
dimumu ccm
NAPENDA KUMPONGEZA PROF. S MUHONGO KWA UFAFANUZI WAKE MAKINI JUU SUALA ZIMA LA VITALU,MAFUTA NA GESI, LA MNO KUBWA ZAIDI NI KWA MTANZANIA YEYOTE AMBAYE ANAONA ANAUWEZO WA KUMILIKI VITALU AFIKE OFiSINI JUMANNE SAA 3 ASB,AKIWA NA VIGEZO VYOTE STAHILI,KAZI KWENU
NAPENDA KUMPONGEZA PROF. S MUHONGO KWA UFAFANUZI WAKE MAKINI JUU SUALA ZIMA LA VITALU,MAFUTA NA GESI, LA MNO KUBWA ZAIDI NI KWA MTANZANIA YEYOTE AMBAYE ANAONA ANAUWEZO WA KUMILIKI VITALU AFIKE OFiSINI JUMANNE SAA 3 ASB,AKIWA NA VIGEZO VYOTE STAHILI,KAZI KWENU
kitaambo nilishawaambia kuwa mwafrika usimwamini hata ukiambiwa ni Prof, Muhongo anadhihirisha hili, prof jina!! Teh tehNasema, ningekuwa CCM leo hii ningeanzisha maandamano ya kumtaka JK amtimue leo leo kabla hajafika home. Kama kweli JK anaitakia CCM mema, amtimue huyu, mchochezi na mzushi, Prof. Muhongo.
Just imagine, anatoa masaa 4 mtu ajiandae na writeup ya mabilioni ampelekee. Huu ni ukichaa kabisa. Hao wazungu wake aliwapigia simu na kuwaambia watumie hayo masaa? Kesho ni holiday, huyo mzawa atapatapi hizo data?
Halafu mabuku 7 yanakenua mimeno humu kufurahia hotuba ya kipuuzi kama hii. Shame on yu.
Gas ni mali ya Watanzania, angekuja na mpango hata wa kuonesha ni vipi Mtwara watafaidi kuchimba hata wao pia. Hata kama ni kuingia ubia na hao wenye uwezo, kingeniingia akilini. Kinyume cha hapo nasema, UPUUZI MTUPU. Tz tumeliwa tu