Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,987
Mkuu, Mie lazima nikusalimie tu... Good day!! SnS.....!Mbona anacheka sasa msibani? Hlafu kama namkimbilia huyo ''binti''
Mkuu, Mie lazima nikusalimie tu... Good day!! SnS.....!
Tena tunasikia vifo vya ghafla kuongezeka ..... Hali hii inatisha!!
Mwafrika akipata hela ya ubwete yeye na akina mama tu......
Nyie wachokozi, jamani sasa kucheka dhambi! Kuna machozi ya furaha na kicheko cha huzuni jamani
Very photogenic professor sio yule professor aliyekuwa analia lia
Huyu kaenda msibani kweli??
mkuu picha ya ukweli imepigwa na photo journalist mkongwe hapa nchiniThis is purely photoshop and very unfortunately people have failed to notice this.