Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 701
Mkuu tunashukuru sana kwa taarifa, pia kutokana na maendeleo ya IT, siku hizi ingekuwa ni kusaidia jamii kama unge-record na ku-post youtube kwa wale waliokosa mijadala iliyopita au ambao hawana access na ITV kwa sasa (Wapo out of scope of ITV)
Ni ukweli usiofichika kuwa Prof. Shivji amebobea katika fani yake. Wasiwasi wangu ni kuwa je watawala wanafurahia mihadhara hii?
Prof. Shivji ni mwalimu wangu pale Udsm na mimi ni miongoni mwa wale wanafunzi wabishi, waliobishana hadi na walimu wao!.
Baadhi ya tofauti tulizotofautiana na mwalimu wangu ni Prof. Shivji anakubali kuwa the end justifies the means, mfano Muungano ni halali na katiba ya Tanzania ya Mwaka 1977 ni katiba halali hata kama njia zilizotumika sio halali!.
Kisheria, jambo likishafanyika ndivyo sivyo, huwa linakuwa halipo, tukiita "ab initio". Kupitia somo la sifa za mikataba, contacts, hati za muungano sio mkataba bali ni makubaliano tuu.
Pili kwa vile makubaliano hayo hayakuridhiwa na Baraza la Wawakilishi, then kiukweli kabisa bila mashaka wala kumung'unya maneno, " Muungano Si Halali" ab initio!. Vivyo hivyo kwa katiba yetu hii iliyopo sii halali kwa msingi kwa katiba iliyoundwa bila kufuata principles za constitutionalism sio constitutional halali!.
Kwenye somo la jana akielezea sifa za wajumbe wa tume ya kukusanya maoni alisisitiza wasiwe wanasiasa!. Hivi waliojaa mle ndani ni kina nani tukianzia kwa Jaji. Warioba!.
Kwa maoni yangu, Prof. Issa Gulamhusein Shivji ndiye aliyepaswa haswa kuwa mwenyekiti wa tume ile!.
JK aliogopa kumteua huyu jamaa kwa sababu ni mkweli mno hivyo angeweza kutupatia katiba nzuri ya kuikweli ambayo CCM ingepigwa chini hata kabla ya uchaguzi!.

Hapana, ITV wamuombe Prof kuendelea na maada mbalimbali za katiba. Hili la DVD sawa lakini ni kwa wachache sana. Sasa wabuni mkakati wa Radio one na Prof shivji. Waacheni TBC walale.
mkuu nani kakwambia prof ni mpemba???fanya utafiti sio unatoa povu tu.
Wakuu jana nimeangalia mhadhala juu ya katiba ulioendeshwa na Prof. Shivji kupitia ITV, lazima nikiri mzee huyu mbali ya kuwa na weredi wa kupindukia kwenye medani ya sheria na katiba ni mzalendo wa kutukuka. Anaelimisha vizuri sana suala zima la maana na umuhimu wa katiba, historia ya katiba, mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya.
Jana ilikuwa kipindi cha pili mhadhala utaendelea tena jumatano saa tatu kamili usiku, ni live itv. Fuatilieni wakuu.
Hivi kwa nini huyu Profesa hakuteuliwa kwenye tume ya Warioba? Huwa najiuliza sipati jibu.
Na wewe kuwa mzalendo wa kweli kwa kuandika Kiswahili stahiki, ni mhadhara.
mzanzibari mwenye akili nyingi
Mwana Mpotevu,1; Kwenye RED bila shaka ulimaanisha Contract kwa maana ya Agreement, pact or treaty na sio CONTACT.
2; Kwenye BLUE. Hapo ndipo huwa naona sura ya pili ya Pasco ya kukubali ukweli wa mambo. Ni mara chache tunatofautiana kama kule Arumeru ulipodai lazima CCM ishinde wakati hakukuwa na hoja za msingi kuipa gamba ushindi kule. Sometimes huwa nakubaliana nawe mfano unapotetea kuwa EL ni better than mtoto wa mkulima even mkwe're kiuongozi.
Lakini leo hapa nakubaliana nawe 100%
Hivi kwa nini huyu Profesa hakuteuliwa kwenye tume ya Warioba? Huwa najiuliza sipati jibu.
Kwa taarifa yako prof Shivji ni mtanganyika, mhaya wa hamgembe bukoba na anachapa kihaya kama anakili nzuri...muulize mshikaji wake Jenerali Ulimwengu!