Tarime-Mura
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 252
- 104
Mtt wake kaingia aje hapa tuweni waugwaniAlikuwa ana mtoto mmoja ambaye alikuwa akisomea degree ya udaktari wa meno miaka ya 2008/09 hapo Muhimbili. Dada yule Eliza alikuwa hajaumbika, lakini Mungu hakumsahau akamjalia nyodo... Mtoto wa waziri wa Sayansi na Teknolojia tena!!!
Soma content ndugu... Cheo ni dhamana. Kwa aliyepewa dhamana, na kwa walio karibu na mpewa dhamana.Mtt wake kaingia aje hapa tuweni waugwani
Alikuwa ana mtoto mmoja ambaye alikuwa akisomea degree ya udaktari wa meno miaka ya 2008/09 hapo Muhimbili. Dada yule Eliza alikuwa hajaumbika, lakini Mungu hakumsahau akamjalia nyodo... Mtoto wa waziri wa Sayansi na Teknolojia tena!!!
Kwa mantiki yako Fred Lowasa naye fair game, business practice zake baba yake ahusishwa.Soma content ndugu... Cheo ni dhamana. Kwa aliyepewa dhamana, na kwa walio karibu na mpewa dhamana.
Wote yawahusu. Uwe CHADEMA, CCM, CUF, usiwe na chama kote yakuhusu.Kwa mantiki yako Fred Lowasa naye fair game, business practice zake baba yake ahusishwa.
Huyu Prof ni mchafu sana sana, walioishi na kusoma SUA watakuambia; Yeye bingwa kula wake za watu na watoto wao; Ana watoto wengi sana sana Dar, Moro, Iringa na kwingineko! Wengi wa watoto wake ni wa kike! Sijui kwa nini, Ana watoto wachache sana kiume! Pia amejaliwa Dharau kubwa sana , sijui ni pesa, asili au shule? Muda umefika, apumzike sasa .......