Elections 2015 Prof. Peter Mohamed Msolla: CCM itatawala, kuanguka labda miaka 50 ijayo

Alikuwa ana mtoto mmoja ambaye alikuwa akisomea degree ya udaktari wa meno miaka ya 2008/09 hapo Muhimbili. Dada yule Eliza alikuwa hajaumbika, lakini Mungu hakumsahau akamjalia nyodo... Mtoto wa waziri wa Sayansi na Teknolojia tena!!!
Mtt wake kaingia aje hapa tuweni waugwani
 
Alikuwa ana mtoto mmoja ambaye alikuwa akisomea degree ya udaktari wa meno miaka ya 2008/09 hapo Muhimbili. Dada yule Eliza alikuwa hajaumbika, lakini Mungu hakumsahau akamjalia nyodo... Mtoto wa waziri wa Sayansi na Teknolojia tena!!!

Haa...haa..haaa nimecheka
 
Hakuna marefu Yasiyo na mwisho,KANU iko wapi?Nenda Zambia,usijidanganye chochote chaweza kutokea
 
Huyu Prof ni mchafu sana sana, walioishi na kusoma SUA watakuambia; Yeye bingwa kula wake za watu na watoto wao; Ana watoto wengi sana sana Dar, Moro, Iringa na kwingineko! Wengi wa watoto wake ni wa kike! Sijui kwa nini, Ana watoto wachache sana kiume! Pia amejaliwa Dharau kubwa sana , sijui ni pesa, asili au shule? Muda umefika, apumzike sasa .......
 
Mizee iliyozoea kula bila kunawa wanadhani watatawala milele. Ccm ina nguvu kuliko Gadafi? Alikoishia
 
Huyu Prof ni mchafu sana sana, walioishi na kusoma SUA watakuambia; Yeye bingwa kula wake za watu na watoto wao; Ana watoto wengi sana sana Dar, Moro, Iringa na kwingineko! Wengi wa watoto wake ni wa kike! Sijui kwa nini, Ana watoto wachache sana kiume! Pia amejaliwa Dharau kubwa sana , sijui ni pesa, asili au shule? Muda umefika, apumzike sasa .......

Anadhani watu hawamfahamu.
 
Mimi naongezea CCM kuanguka labda miaka 100 ijayo. Hakuna you upinzani Nchi hii, wote wamebaki kupiga kelele mitandanoni. Magufuli atabaki kuwa juu, Mawinguni.
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom