Yes, ndiyo maana JF naonaga kuna chekechea wengi tu na maandishi yao unaona kabisa kuwa hawa ni wa Jalalani enzi za Kabudi😀😀😀😀😀😀😀😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
Mnatutisha wenzenu inamaana ww umesoma chuo zamani sana.