Kwani ukiandikiwa Rest In Peace, basi wewe ni mzungu?Kutuandikia kiarabu. Kwani nani alimwambia humu kuna waarabu...vitu vingine upuuzi sana.
Anyway apumzike kwa amani prof.
#MaendeleoHayanaChama
Hata mimi sikuwahi kujua! Siku zote alikuwa anaandika Mayunga H. H. Nkunya!Ila sikujua kuwa ni Habibu Hemedi,
Tanzania lugha mbili tu za mawasiliano zinatumika kiingereza na kiswahili...Kwani ukiandikiwa Rest In Peace , basi wewe ni mzungu?
Duh!!!He was a gentleman!
Ila sikujua kuwa ni Habibu Hemedi,
RIP Prof Mayunga Nkunya!
pole mjane wa marehemuMwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), Prof. Mayunga Habibu Hemedi Nkunya amefariki dunia leo Julai 20, 2021 katika Hosp ya Taifa, Muhimbili.
RIP
View attachment 1860993
shkamoo babaDuh!!!
RIP my college mate UDSM July 1972 - March 1975.
Yes, he a real gentleman.
Pol na wewe. He was my chemistry teacher 1980sDuh!!!
RIP my college mate UDSM July 1972 - March 1975.
Yes, he a real gentleman.
He was a gentleman!
Ila sikujua kuwa ni Habibu Hemedi,
RIP Prof Mayunga Nkunya!
pole my dear, pole ka mkewe na watoto pia,Duh!!!
RIP my college mate UDSM July 1972 - March 1975.
Yes, he a real gentleman.
He was also Magufulis lecturer.Pol na wewe. He was my chemistry teacher 1980s