Prof Ngongo sasa ni Platinum Member

Hiyo unalipia unapewa Ila Kama wewe ni prof waambie wakupe tiki

Na vigezo vya kupewa tiki ni wao kujua majina yako halisi


Kwahiyo wewe Kama ni prof uchwara itajulikana.
 
Sidhani unajua moderator wanatazama vitu vingi sana,kitu cha kwanza ni nyuzi zilizoenda shule,matusi hakuna,uchawa ndio huwezi kupata kabisa u Platinum.
Kuna yule chawa mkuu Lucas Mwashambwa atasubiri sana.
Kuna member mmoja humu,sitaki kumtaja jina,hata yeye ni Platinum member ila yeye hua ana comment moja tu,kila uzi anaandika ''Ngoja waje kukupa muongozo''
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…