Prof Ngalinda anaipeleka wapi elimu yetu chuo chetu cha EASTC?

NgugiAchebe

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
1,024
Reaction score
688
Ivi jamani naombeni muongozo kwa jambo hili hapa kwa Mimi naona nikinyume na mifumo ya vyuo vyote hapa nchini na duniani pia habari yenyewe iko hivi:-

Katika chuo cha EASTERN AFRICA STATISTICS TRAINNING CENTRE (EASTC) chuo cha TAKWIMU kilichoopo changanyikeni Dar es Salaam, kina mfumo wa ukandamizaji wa wanafunzi sana sana sana kiasi ambacho wanafunzi kutoka nje ya nchi wamepungua kwa asilimia 90 au zaidi kuja katika chuo hicho kutokana ni chuo pekee kinachosomesha wanafunzi wa nchi zaidi ya Kumi (10) Africa pia na wanafunzi wa ndani na vile vile wamepungua sana hii sasa ni kwa sababu hizi, katika mfumo uliopo chuoni hapo ni kwamba pale mwanafunzi anapopata supplementary na akishindwa kujaiondoa supplementary yake hata kama ni somo moja chuo hakina mfumo kama uliopo vyuo vyote ambao ambao ni Carry Over yaani lile somo hauruhusiwi kwenda nalo semester ya 3 ambayo IPO katika mwaka wa pili wa masomo badala yake utalazimika kubakia mwaka hauruhusiwi kwenda nalo somo hilo.

Yaani somo lako kama lipo semester ya kwanza utaingia darasani kwa somo hilo tu na wanafunzi wapya na unalazimika kulipia 60% ya fees yote kama ni somo 1 na 100% ya fees kama ni masomo mawili au zaidi kisha ukimaliza semester unasubiri nyumbani mpaka mwaka mpya wa masomo uanze ndio uende mwaka wa pili wakati wenzako ulioanza nao mwaka wa mwanzo wao wanaenda mwaka wa tatu(3), na pia vile vile kama somo lako lipo semester ya pili, semester ya mwanzo unakaa nyumbani unasubiria semester ya pili uingie kwa somo moja tu.

Hapo sasa ikumbukwe wanafunzi hawa wanategemea kusomeshwa na serikali yaani wanapokea mkopo kwa ajili ya masomo. Sasa degree ni miaka 3 jee ule mwaka ww 4 watalipiwa na nani?

Pia tukumbuke hao wanafunzi wanatoka mikoa tofauti Tanzania na wengine wanatoka nje ya nchi, hivyo wanapokuja masomoni wanalazimika kukaa hosteli sasa mwanafunzi anakuja kutoka mfano mwanza, bukoba, kagera n.k anaingia darasani kwa kusoma somo Moja tu wakati mfumo wa Carry Over unawezekana kuutumia mwanafunzi akaepuka hizo gharama pia kuweza kuokoa muda wa kumaliza degree yake kwa miaka mitatu kama ilivyo.

Hebu tuliangalieni hili. Wizara husika jee huu mfumo ukoje? Tens mwanafunzi yumo ndani ya NTA 7 ambayo inabeba semester 4 sasa hajamaliza hata hiyo NTA 7 yuko semester ya pili yaani mwaka ww mwanzo anazuiwa kwenda semester ya tatu ambayo ni semister ya 3 na ya 4?

Mkuu wa chuo Prof Ngalinda ambae ndio mkuu wa chuo hivi mfumo huo umeutolea wapi? Kwani hata aliekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya chuo mfumo huo haujui na anashangaa mfumo huo, na kwa nini kusiwe na mfumo wa carry over kama vyuo vyengine nchini mwetu?
Nitawaletea kila hatua anavyofanya prof huyu
 
Ukweli no kwamba, andika na peleka barua yako ASAP kwa regulator, TCU. We we ni Mtanzania una haki zote za kuhoji na kupata majibu sahihi.
 
tumekwenda sehemu mbalimbali kama Bodi ya mkopo wamesema hakuna utaratibu huo tumekwenda wizara ya elimu wamekana mfumo huo anaotaka prof ngalinga
TCU tumeenda wamesema prof ngalinga ni mkorofi hambiliki wakatuliza idadi ya wanafunzi tukawambia tupo 31 kati ya 50 tuliomaliza
 
Ni shida kwa anayesoma hapo anahitajika kusoma sio mchezo
 
We mtoa hoja acha kukurupuka kwanza kabisa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika hakihusiani na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Halafu Chuo cha Takwimu hutumia mfumo wa “Competence Based Education and Training-CBET” ambapo Wanafunzi hujifunza zaidi ujuzi wa kufanya kazi (concrete skills) kuliko nadharia (abstract learning). Kwa utaratibu huu, mwanafunzi hulazimika kuielewa hatua moja kikamilifu kabla ya kuvuka kwenda hatua inayofuata. Hii inatokana na mfumo wa moduli katika CBET ambapo kila moduli inakuwa na moduli tangulizi (prerequisite) ambayo ni budi ikamilike kabla ya kuendelea na moduli husika. Tumeambatanisha mfano wa moduli na moduli tangulizi zake kwa urahisi wa rejea.

Si sahihi kuwa kila Mwanafunzi anayeshindwa moduli anarudia mwaka, bali wanatakiwa kurudia moduli aliyoshindwa wakati wowote inapokuwa inafundishwa. Wanaopaswa kurudia mwaka ni wale walioshindwa asilimia 75 ya moduli zote katika muhula (semester).

Aidha kanuni za mitihani (examination regulations) za Chuo ibara ya 19 kifungu namba 19.4; na ibara ya 21 vifungu namba 21.1, 21.2, 21.3 na 21.4 zinaainisha utaratibu husika niliozungumziwa hapo juu.
 
Ivi jamani naombeni muongozo kwa jambo hili hapa kwa Mimi naona nikinyume na mifumo ya vyuo vyote hapa nchini na duniani pia habari yenyewe iko hivi:-

Katika chuo cha EASTERN AFRICA STATISTICS TRAINNING CENTRE (EASTC) chuo cha TAKWIMU kilichoopo changanyikeni Dar es Salaam, kina mfumo wa ukandamizaji wa wanafunzi sana sana sana kiasi ambacho wanafunzi kutoka nje ya nchi wamepungua kwa asilimia 90 au zaidi kuja katika chuo hicho kutokana ni chuo pekee kinachosomesha wanafunzi wa nchi zaidi ya Kumi (10) Africa pia na wanafunzi wa ndani na vile vile wamepungua sana hii sasa ni kwa sababu hizi, katika mfumo uliopo chuoni hapo ni kwamba pale mwanafunzi anapopata supplementary na akishindwa kujaiondoa supplementary yake hata kama ni somo moja chuo hakina mfumo kama uliopo vyuo vyote ambao ambao ni Carry Over yaani lile somo hauruhusiwi kwenda nalo semester ya 3 ambayo IPO katika mwaka wa pili wa masomo badala yake utalazimika kubakia mwaka hauruhusiwi kwenda nalo somo hilo.

Yaani somo lako kama lipo semester ya kwanza utaingia darasani kwa somo hilo tu na wanafunzi wapya na unalazimika kulipia 60% ya fees yote kama ni somo 1 na 100% ya fees kama ni masomo mawili au zaidi kisha ukimaliza semester unasubiri nyumbani mpaka mwaka mpya wa masomo uanze ndio uende mwaka wa pili wakati wenzako ulioanza nao mwaka wa mwanzo wao wanaenda mwaka wa tatu(3), na pia vile vile kama somo lako lipo semester ya pili, semester ya mwanzo unakaa nyumbani unasubiria semester ya pili uingie kwa somo moja tu.

Hapo sasa ikumbukwe wanafunzi hawa wanategemea kusomeshwa na serikali yaani wanapokea mkopo kwa ajili ya masomo. Sasa degree ni miaka 3 jee ule mwaka ww 4 watalipiwa na nani?

Pia tukumbuke hao wanafunzi wanatoka mikoa tofauti Tanzania na wengine wanatoka nje ya nchi, hivyo wanapokuja masomoni wanalazimika kukaa hosteli sasa mwanafunzi anakuja kutoka mfano mwanza, bukoba, kagera n.k anaingia darasani kwa kusoma somo Moja tu wakati mfumo wa Carry Over unawezekana kuutumia mwanafunzi akaepuka hizo gharama pia kuweza kuokoa muda wa kumaliza degree yake kwa miaka mitatu kama ilivyo.

Hebu tuliangalieni hili. Wizara husika jee huu mfumo ukoje? Tens mwanafunzi yumo ndani ya NTA 7 ambayo inabeba semester 4 sasa hajamaliza hata hiyo NTA 7 yuko semester ya pili yaani mwaka ww mwanzo anazuiwa kwenda semester ya tatu ambayo ni semister ya 3 na ya 4?

Mkuu wa chuo Prof Ngalinda ambae ndio mkuu wa chuo hivi mfumo huo umeutolea wapi? Kwani hata aliekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya chuo mfumo huo haujui na anashangaa mfumo huo, na kwa nini kusiwe na mfumo wa carry over kama vyuo vyengine nchini mwetu?
Nitawaletea kila hatua anavyofanya prof huyu
Badala ya kulalamika soma kwa bidii ili usipate supp au ukipata hakikisha una iclear,mfumo huo upo na unatumika vyuo vingi tu ndani na nje ya Tanzania,na unaitwa break system,nia ni kuhakikisha vijana wanasoma kwa bidii na kuacha anasa na starehe na kuzingatia masomo.
 
JIONGEZEE ACHA MBWEMBWE!!! Mimi mwenyewe ndugu yangu anasoma pale ni kwamba suala la ada mwanafunzi anachagua kama kulipa kwa semester au mwaka mzima kulingana na uwezo wake.

Kwanza dogo aliniambia akilipa kwa mwaka anakuwa na faida ya kuingia hata kwenye masomo ya mbeleni kwa ajili ya kupata uelewa lakini haruhusiwi kufanya mitihani yake mpaka muda wake utakapowadia. Kwa kufanya hivyo mwanafunzi anajiongezea ujuzi mwenyewe, Afu muda unapofika wa kusoma somo hilo dent hatumii msuli sana kulielewa kwakua anakuwa alishapata dondoo hapo nyuma. Kupanga ni kuchagua.
 
Jamani kusema ule ukweli mtu huwezi kupendwa na wote na ukachukiwa na
wote.
Lakini pia mtu ambaye yuko straight yaani hana makona kona na anasimamia utaratibu mara nyingi mtu huyo huwa anachukiwa sana na watu wasiopenda kujituma au wanaopenda mtelemko.

Yule Profesa Ngalinda hataki mchezo jamani yaani akisimamia vitu vyake anahakikisha kila kitu kiko vizuri na ndio maana wanafunzi wanaomaliza pale wameiva kwelikweli.

Yaani pale hakuna kulemba ni kusoma kwa kwenda mbale. Haya mambo mengine ni maneno ya watu tu ambayo kwa kawaida mtu asiposemwa ama kwa mazuri au kwa mabaya ujue mtu huyo ana kasoro. Kwa mfano kuna mtu kaandika eti Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo cha Takwimu Madhariki mwa Afrika ni Dkt.
Chuwa, huu ni uongo kabisa Mwenyekiti wa Bodi wa kile chuo ni Prof. Morrice Mbago ambaye ni Mhadhili wa UDSM.

Wajumbe wa Bodi ni watano ambapo huyo Chuwa hata hayumo katika hao wajumbe.
Ivi jamani naombeni muongozo kwa jambo hili hapa kwa Mimi naona nikinyume na mifumo ya vyuo vyote hapa nchini na duniani pia habari yenyewe iko hivi:-

Katika chuo cha EASTERN AFRICA STATISTICS TRAINNING CENTRE (EASTC) chuo cha TAKWIMU kilichoopo changanyikeni Dar es Salaam, kina mfumo wa ukandamizaji wa wanafunzi sana sana sana kiasi ambacho wanafunzi kutoka nje ya nchi wamepungua kwa asilimia 90 au zaidi kuja katika chuo hicho kutokana ni chuo pekee kinachosomesha wanafunzi wa nchi zaidi ya Kumi (10) Africa pia na wanafunzi wa ndani na vile vile wamepungua sana hii sasa ni kwa sababu hizi, katika mfumo uliopo chuoni hapo ni kwamba pale mwanafunzi anapopata supplementary na akishindwa kujaiondoa supplementary yake hata kama ni somo moja chuo hakina mfumo kama uliopo vyuo vyote ambao ambao ni Carry Over yaani lile somo hauruhusiwi kwenda nalo semester ya 3 ambayo IPO katika mwaka wa pili wa masomo badala yake utalazimika kubakia mwaka hauruhusiwi kwenda nalo somo hilo.

Yaani somo lako kama lipo semester ya kwanza utaingia darasani kwa somo hilo tu na wanafunzi wapya na unalazimika kulipia 60% ya fees yote kama ni somo 1 na 100% ya fees kama ni masomo mawili au zaidi kisha ukimaliza semester unasubiri nyumbani mpaka mwaka mpya wa masomo uanze ndio uende mwaka wa pili wakati wenzako ulioanza nao mwaka wa mwanzo wao wanaenda mwaka wa tatu(3), na pia vile vile kama somo lako lipo semester ya pili, semester ya mwanzo unakaa nyumbani unasubiria semester ya pili uingie kwa somo moja tu.

Hapo sasa ikumbukwe wanafunzi hawa wanategemea kusomeshwa na serikali yaani wanapokea mkopo kwa ajili ya masomo. Sasa degree ni miaka 3 jee ule mwaka ww 4 watalipiwa na nani?

Pia tukumbuke hao wanafunzi wanatoka mikoa tofauti Tanzania na wengine wanatoka nje ya nchi, hivyo wanapokuja masomoni wanalazimika kukaa hosteli sasa mwanafunzi anakuja kutoka mfano mwanza, bukoba, kagera n.k anaingia darasani kwa kusoma somo Moja tu wakati mfumo wa Carry Over unawezekana kuutumia mwanafunzi akaepuka hizo gharama pia kuweza kuokoa muda wa kumaliza degree yake kwa miaka mitatu kama ilivyo.

Hebu tuliangalieni hili. Wizara husika jee huu mfumo ukoje? Tens mwanafunzi yumo ndani ya NTA 7 ambayo inabeba semester 4 sasa hajamaliza hata hiyo NTA 7 yuko semester ya pili yaani mwaka ww mwanzo anazuiwa kwenda semester ya tatu ambayo ni semister ya 3 na ya 4?

Mkuu wa chuo Prof Ngalinda ambae ndio mkuu wa chuo hivi mfumo huo umeutolea wapi? Kwani hata aliekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya chuo mfumo huo haujui na anashangaa mfumo huo, na kwa nini kusiwe na mfumo wa carry over kama vyuo vyengine nchini mwetu?
Nitawaletea kila hatua anavyofanya prof huyu
 
Jamani kusema ule ukweli mtu huwezi kupendwa na wote na ukachukiwa na
wote.
Lakini pia mtu ambaye yuko straight yaani hana makona kona na anasimamia utaratibu mara nyingi mtu huyo huwa anachukiwa sana na watu wasiopenda kujituma au wanaopenda mtelemko.

Yule Profesa Ngalinda hataki mchezo jamani yaani akisimamia vitu vyake anahakikisha kila kitu kiko vizuri na ndio maana wanafunzi wanaomaliza pale wameiva kwelikweli.

Yaani pale hakuna kulemba ni kusoma kwa kwenda mbale. Haya mambo mengine ni maneno ya watu tu ambayo kwa kawaida mtu asiposemwa ama kwa mazuri au kwa mabaya ujue mtu huyo ana kasoro. Kwa mfano kuna mtu kaandika eti Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo cha Takwimu Madhariki mwa Afrika ni Dkt.
Chuwa, huu ni uongo kabisa Mwenyekiti wa Bodi wa kile chuo ni Prof. Morrice Mbago ambaye ni Mhadhili wa UDSM.

Wajumbe wa Bodi ni watano ambapo huyo Chuwa hata hayumo katika hao wajumbe.
 
Badala ya kulalamika soma kwa bidii ili usipate supp au ukipata hakikisha una iclear,mfumo huo upo na unatumika vyuo vingi tu ndani na nje ya Tanzania,na unaitwa break system,nia ni kuhakikisha vijana wanasoma kwa bidii na kuacha anasa na starehe na kuzingatia masomo.

zaidi ya hayo, ona sasa ilivyokaa na wanafunzi ambao hawajali muda wa kusoma wanakuja na mambo yao, anajaribu kuweka uongo wake ili kufurahisha jukwaa. Hapana, kwenye ukweli ni lazima tuwe wa kweli. Utaratibu wa kulipa ada katika chuo hicho ninavyofahamu mimi unafuata utaratibu ufuatao:

i. Utaratibu wa kwanza ni ule wa kulipaada kwa mwaka mzima yaani “annual fees payment” ambapo mwanafunzi anayefuata chaguo hili, huweza kulipa ada yote kwa mkupuo mmoja; au 60% muhula wa kwanza na kumalizia 40% muhula wa pili.

ii. Utaratibu wa pili ni ule wa kulipaada kwa moduli ambapo mwanafunzi huchagua moduli alizo na uwezo wa kuzilipia katika kipindi husika.
Mwanafunzi anapochagua utaratibu wakulipia, hulazimika kuendelea nao hadi mwisho wa mwaka wa masomo unaohusika. Inapotokea mwanafunzi ameshindwa baadhi ya moduli na a kalazimika kurudia kulingana na utaratibu wa CBET, halazimiki kuendelea na utaratibu wa malipo alioutumia awali. Hivyo, mwanafunzi anaweza kuchagua utaratibu wamalipokulingana na uhitaji wake. Ikumbukwe pia kwamba Wanafunzi wa EASTC waliingia makubaliano na NACTE juu ya jambohili.

Sasa iweje leo mtu anakuja JF kutaka imhalalishie uzembe wake wa kuwa makini katika kusoma?
 
Ivi jamani naombeni muongozo kwa jambo hili hapa kwa Mimi naona nikinyume na mifumo ya vyuo vyote hapa nchini na duniani pia habari yenyewe iko hivi:-

Katika chuo cha EASTERN AFRICA STATISTICS TRAINNING CENTRE (EASTC) chuo cha TAKWIMU kilichoopo changanyikeni Dar es Salaam, kina mfumo wa ukandamizaji wa wanafunzi sana sana sana kiasi ambacho wanafunzi kutoka nje ya nchi wamepungua kwa asilimia 90 au zaidi kuja katika chuo hicho kutokana ni chuo pekee kinachosomesha wanafunzi wa nchi zaidi ya Kumi (10) Africa pia na wanafunzi wa ndani na vile vile wamepungua sana hii sasa ni kwa sababu hizi, katika mfumo uliopo chuoni hapo ni kwamba pale mwanafunzi anapopata supplementary na akishindwa kujaiondoa supplementary yake hata kama ni somo moja chuo hakina mfumo kama uliopo vyuo vyote ambao ambao ni Carry Over yaani lile somo hauruhusiwi kwenda nalo semester ya 3 ambayo IPO katika mwaka wa pili wa masomo badala yake utalazimika kubakia mwaka hauruhusiwi kwenda nalo somo hilo.

Yaani somo lako kama lipo semester ya kwanza utaingia darasani kwa somo hilo tu na wanafunzi wapya na unalazimika kulipia 60% ya fees yote kama ni somo 1 na 100% ya fees kama ni masomo mawili au zaidi kisha ukimaliza semester unasubiri nyumbani mpaka mwaka mpya wa masomo uanze ndio uende mwaka wa pili wakati wenzako ulioanza nao mwaka wa mwanzo wao wanaenda mwaka wa tatu(3), na pia vile vile kama somo lako lipo semester ya pili, semester ya mwanzo unakaa nyumbani unasubiria semester ya pili uingie kwa somo moja tu.

Hapo sasa ikumbukwe wanafunzi hawa wanategemea kusomeshwa na serikali yaani wanapokea mkopo kwa ajili ya masomo. Sasa degree ni miaka 3 jee ule mwaka ww 4 watalipiwa na nani?

Pia tukumbuke hao wanafunzi wanatoka mikoa tofauti Tanzania na wengine wanatoka nje ya nchi, hivyo wanapokuja masomoni wanalazimika kukaa hosteli sasa mwanafunzi anakuja kutoka mfano mwanza, bukoba, kagera n.k anaingia darasani kwa kusoma somo Moja tu wakati mfumo wa Carry Over unawezekana kuutumia mwanafunzi akaepuka hizo gharama pia kuweza kuokoa muda wa kumaliza degree yake kwa miaka mitatu kama ilivyo.

Hebu tuliangalieni hili. Wizara husika jee huu mfumo ukoje? Tens mwanafunzi yumo ndani ya NTA 7 ambayo inabeba semester 4 sasa hajamaliza hata hiyo NTA 7 yuko semester ya pili yaani mwaka ww mwanzo anazuiwa kwenda semester ya tatu ambayo ni semister ya 3 na ya 4?

Mkuu wa chuo Prof Ngalinda ambae ndio mkuu wa chuo hivi mfumo huo umeutolea wapi? Kwani hata aliekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya chuo mfumo huo haujui na anashangaa mfumo huo, na kwa nini kusiwe na mfumo wa carry over kama vyuo vyengine nchini mwetu?
Nitawaletea kila hatua anavyofanya prof huyu

Mkuu kikubwa punguza starehe komaa na uelewe lengo la wewe kuwa chuoni sio kupata Sup wala kudisco otherwise waachie wengine wenye hasira na shule! tena una bahati wanafunzi wenyewe mko wachache afu unalialia je mgekuwa buku si ungekuwa umeshafukuzwa kitambo!
 
Nijuavyo mimi, wanafunzi ambao hawajali muda wa kusoma wanakuwa na mambo yao, wanajaribu kuweka uongo wake ili kufurahisha uzembe wanapokuwa kukata kitabu ili baadae waweze kuwahadaa wazazi na walezi wao. Hapana, kwenye ukweli ni lazima tuwe wa kweli. Utaratibu wa kulipa ada katika chuo hicho ninavyofahamu mimi unafuata utaratibu ufuatao:
Utaratibu wa kwanza ni ule wa kulipaada kwa mwaka mzima yaani “annual fees payment” ambapo mwanafunzi anayefuata chaguo hili, huweza kulipa ada yote kwa mkupuo mmoja; au 60% muhula wa kwanza na kumalizia 40% muhula wa pili.
Utaratibu wa pili ni ule wa kulipaada kwa moduli ambapo mwanafunzi huchagua moduli alizo na uwezo wa kuzilipia katika kipindi husika.
Mwanafunzi anapochagua utaratibu wakulipia, hulazimika kuendelea nao hadi mwisho wa mwaka wa masomo unaohusika. Inapotokea mwanafunzi ameshindwa baadhi ya moduli na a kalazimika kurudia kulingana na utaratibu wa CBET, halazimiki kuendelea na utaratibu wa malipo alioutumia awali. Hivyo, mwanafunzi anaweza kuchagua utaratibu wamalipokulingana na uhitaji wake. Ikumbukwe pia kwamba Wanafunzi wa EASTC waliingia makubaliano na NACTE juu ya jambohili.
Sasa iweje leo mtu anakuja JF kutaka imhalalishie uzembe wake wa kuwa makini katika kusoma?
 
Profesa Ngalinda!!!ndo wa wapi naye huyu!?

Duu na wewe ni dent au unapima upepo?

Prof. Ngalinda ndo Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika soma vizuri post zilizopita utamjua tu, huyu jamaa hapendi ujinga kabisa yuko straight na mambo yake anafuata Sheria, Kanuni na taratibu hafagilii vilaza hata kidogo! kama unapenda mtelemko na starehe wakati uko chuoni ukajikuta umeingia anga zake lazima uisome namba HAKUNA NAMNA
 
Nijuavyo mimi, wanafunzi ambao hawajali muda wa kusoma wanakuwa na mambo yao, wanajaribu kuweka uongo wake ili kufurahisha uzembe wanapokuwa kukata kitabu ili baadae waweze kuwahadaa wazazi na walezi wao. Hapana, kwenye ukweli ni lazima tuwe wa kweli. Utaratibu wa kulipa ada katika chuo hicho ninavyofahamu mimi unafuata utaratibu ufuatao:
Utaratibu wa kwanza ni ule wa kulipaada kwa mwaka mzima yaani “annual fees payment” ambapo mwanafunzi anayefuata chaguo hili, huweza kulipa ada yote kwa mkupuo mmoja; au 60% muhula wa kwanza na kumalizia 40% muhula wa pili.
Utaratibu wa pili ni ule wa kulipaada kwa moduli ambapo mwanafunzi huchagua moduli alizo na uwezo wa kuzilipia katika kipindi husika.
Mwanafunzi anapochagua utaratibu wakulipia, hulazimika kuendelea nao hadi mwisho wa mwaka wa masomo unaohusika. Inapotokea mwanafunzi ameshindwa baadhi ya moduli na a kalazimika kurudia kulingana na utaratibu wa CBET, halazimiki kuendelea na utaratibu wa malipo alioutumia awali. Hivyo, mwanafunzi anaweza kuchagua utaratibu wamalipokulingana na uhitaji wake. Ikumbukwe pia kwamba Wanafunzi wa EASTC waliingia makubaliano na NACTE juu ya jambohili.
Sasa iweje leo mtu anakuja JF kutaka imhalalishie uzembe wake wa kuwa makini katika kusoma?

Anafata sheria ya uhuru wa kujieleza lo!!😀😀 hata aibu haoni,komaa kijana acha maneno mengi vinginevyo wewe unalalama wenzio wanasonga.
 
HUO utaratibu uko vyuo vingi tu mpendwa, nakushauri usome kwa bidii tu mbona wenzio wanafanya vizuri hawapati shida yoyote??
 
Back
Top Bottom