Prof. Ndalichako: Walimu wameshalipwa madai yao yote

Prof. Ndalichako: Walimu wameshalipwa madai yao yote

Daa jamani jamani hivi hawa watu mbona sio waungwana hivyo Mimi ninadai malimbikizo ya mishara toka Oktoba 1 2005 mpaka agosti 2006 tena kunamalimbikizo mengine toka Desemba 2011 mpaka mei 2012 nimedai mpaka nimechoka ndalichako anaongea nini huyu mama dah!
I wish to cryyy[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji22]
 
kama wanaodai kwa kupitia chama chao wapo kimya yeye asemeje Chama cha Walimu sijui kinafanya kazi gani kipo kipo tuu...
 
Daa jamani jamani hivi hawa watu mbona sio waungwana hivyo Mimi ninadai malimbikizo ya mishara toka Oktoba 1 2005 mpaka agosti 2006 tena kunamalimbikizo mengine toka Desemba 2011 mpaka mei 2012 nimedai mpaka nimechoka ndalichako anaongea nini huyu mama dah!
Pole sana mkuu, ila usichoke kuidai haki yako
 
Walimu wap hii serikalii full maigizoo watu wanadai hela ya likizo tu mwaka jana mpka leo
 
Mimi nadai mishahara miwili wa April na mei 2014 ndio mwaka nilioanza kaz' nimejaza salary arrears zaidi ya mara tatu bado sijalipwa! Halafu wanataka nifundishe kwa morali! Kwel?
 
Hii issue ya madai ya walimu sina uhakika nayo sana lakini ninakumbuka kuhusu pesa ya field alisema; walipotoa maelekezo wanafunzi wapeleke uthibitisho wa uhakiki ili walipwe pesa ya field ndiyo chai ilipoingia chloriquine ghafla na pesa zilibaki.
 
Siku Hizi Nimeshaacha Kupoteza Muda na Kuwasiliza Ma DR na Ma Profesa wa Kibongo!
Siku Hizi:
 
Asa nyie wengine mnabwabwaja nini hapa jf? mnalalamika tu hapa na kumshambulia huyo mama bila hata sababu za msingi,yaani mnalalamika tu kwa kuwa mmepata sehemu, hamsemi ni muongo kwa sababu gani mmebaki kulaumu tu,wanaopaswa kulalamika ni hao wawili tu Noiselesslyhunter na huyo mwenzake realleonia kwa kuwa wana madai bado wanadai,na wao pia nawashauri wafate njia zinazostahili ili waweze kulipwa madai yao,nyie wengine tulizeni boli kwani Mama kashafanya yake tayari ndo maana ansema kwa kujiamini.
 
Back
Top Bottom