mr hussein
Member
- Nov 1, 2016
- 54
- 37
Sijaona kosa alilofanya ndalichako mpaka sawa labda kwa vilaza waliozoea mlango wa nyumqWaziri aliefanya vizuri mpaka sasa,Ndalichako
na mazoezi yake ya uongo ya uhakiki kwanini hakuyafanya mapema, mpaka anasubiri muda huu ambao majina yalipaswa kua yametangazwa? huyu mama ni mnafiki sanaNdalichoko anajili kwan acheni zenu.
Pongez kwako mkuu. Unajua psychologically mtu kama hajawah kuumizwa na mapenz tangu abarehe nasahv anamiaka 40 huyo hawez kukupa pole ukimpelekea maumivu yako atakucheka snTatizo ndali yupo pamoja na mkuu wa kaya,roho mbaya zaidi ya mkaanga sumu,et kuna member wengine wanafurahia hayo matamko,ndugu usifurahi mwenzio anapoanguka muombee nawe upate mafanikii,mnakalia kucfia serikali ili hali mtoto au ndugu yko ni mhitimu wa ualimu au afya au kada yoyote na ajapata ajira,eti serikali ya awamu ya 5 ipo vizuri imekusaidia nini kwa mfano nawe ni fukara tu,mnanisinya mnaoshobokea hii ya system ya system teua tengua,jiangalieni kwanza bhana mnaboa