Prof Ndalichako Majibya Shingo Kasulu

Prof Ndalichako Majibya Shingo Kasulu

Haijulikani Daniel Nsanzugwako katokea wapi dakika za jiooni. anakaba Hadi penati. Wajumbe wanalalamika Prof Bahili sana. Toka atoe mitungi ya gesi (kilo 6) hajarudi tena
Kasulu hawachagui mtu Kwa rushwa. Prof. Joseph Mbwiliza alikuwa mbunge wa Kasulu nzima kabla ya kugawanya kuwa majimbo 3 ya Sasa alikuwa mjamaa tena maskini mpaka leo. Kwa kumbukumbu ndiye aliyechaguliwa Kwa misimu 2 hakuwa na pesa ya kugawa licha ya usomi wake. Siyo muumini wa siasa za CCM, lakini Prof. Ndalichako hawawahongi maCCM amefanya vyema.
 
Haijulikani Daniel Nsanzugwako katokea wapi dakika za jiooni. anakaba Hadi penati. Wajumbe wanalalamika Prof Bahili sana. Toka atoe mitungi ya gesi (kilo 6) hajarudi tena
Daniel yule wa zamani aliyekuwa Waziri au Mwanaye
 
Haijulikani Daniel Nsanzugwako katokea wapi dakika za jiooni. anakaba Hadi penati. Wajumbe wanalalamika Prof Bahili sana. Toka atoe mitungi ya gesi (kilo 6) hajarudi tena
Tishio la Prof ni Dubai yule mmiliki wa Bwami hotel na sio Nsanzugwanko. Nsanzugwanko mnamlia pesa bure. Wajumbe hamna maana kabisa.
 
Back
Top Bottom