Prof. Mwandosya kugombea Urais 2015

eti sokoine wa pili....mliozaliwa enzi za mwinyi na mkapa mkasimuliwa kuhusu sokoine....mna shida sana ktk kuwaza kwenu
 
Kwa maoni yangu, Mwandosya hafai hata kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo. Ni mvunjifu wa sheria na ana nyodo sana. Nawikia alipokuwa waziri wa maji alikuwa hajali kabisa ushauri anaopewa na washauri wake wakiwemo katibu mkuu, naibu katibu mkuu na wakurugenzi. Kwa tabia hiyo alimuumiza mhandisi mmoja mzuri aliyekuwa mkurugenzi wa dawasco bw. Kaaya na kumpachika mtu wake. Kitendo hicho alikifanya pia kwenye uteuzi wa mkurugenzi wa mamlakq a maji mwanza. Halafu ni kiongozi mwenye nyodo na anayejisikia na dharau kubwa sana.
 
Mpaka mwaka huu 2014 unaisha tutakuwa tumeona na kusikia mengi....MUNGU IBARIKI NCHI HII
 

Mimi binafsi namkubali huyu mtendaji Mh.Lowasa isipokuwa napata shida kidogo kama ataweza kukabiliana na changamoto za wakati huu bila kuathiri demokrasia.
Jiwe waliloliacha waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni!
 
Kamuua nani? Huko kumzushia ndivyo mnazidi kumpandisha. Yupo sawa kabisa kiafya hayo mgonjwa yatawarudia wenyewe. Time will tell

Yes, time will tell but one thing is certain - he will never be the president of Tanzania or Tanganyika for that matter! You can take that to the bank.
 
mziki ni pale atakapojitokeza mzanzibar kutangaza nia ya kugombea urais wa Tanganyika uliojificha ndani ya Tanzania,maana mpaka sasa ni watanganyika tu, ndio wanajitokeza
 
Yes, time will tell but one thing is certain - he will never be the president of Tanzania or Tanganyika for that matter! You can take that to the bank.
That is according to you! And I think some day you will see the other side of him and find that he is the only President material that you and Tanzania need! Just give it more time. Utasimama tu Uhesabiwe
 
That is according to you! And I think some day you will see the other side of him and find that he is the only President material that you and Tanzania need! Just give it more time. Utasimama tu Uhesabiwe

How I wish that becomes true! I have nothing against him as a person. We have to make our minds based on the information available. We are capable of sorting husks from rice.
 
Salim, Warioba kama watagombea kwa ticket ya CCM labda wanaweza kushinda lakini so far sijaona zaidi ya Lowassa ndani ya CCM ... Ole wao wafanye kosa wamchague mwingine ndo wakapo jua maana ya kura za maruhani ...
 
Only time will tell. We can only pray that Tanzania does not go to the "dogs"
A good leader does not seek leadership at any cost. Kuna watu wamefika mahali wanaona kupta Urais ni haki yao na wengine hawana haki. Why not stay aside to enjoy the loot!

Do you know the meaning of looting? There is no doubt that you are among the most frustrated group politically.
 
Do you know the meaning of looting? There is no doubt that you are among the most frustrated group politically.

You are asking the meaning of looting? Here you are

1. spoils or plunder taken by pillaging
2. anything taken by dishonesty, force, stealth, etc.: a burglar's loot.

Anything more?
 

kwani anamuzia asigombee, wote ni viongozi wazuri, wazoefu, kikubwa tupate viongozi wazuri, kwa ajili ya maendeleo, upendo na amani ya nchi yetu, ubaguzi haufai "yeyote atakayechaguliwa atafaa kuwa kiongozi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…