Prof. Mwandosya amwomba Lowassa kumuunga mkono

Kwanza acha umbea... kijana mdogo ukiwa mbea, ukiwa mzee utakuwa mchawi....

Mwandosya hana mvuto hata 10% ya Lowassa kisiasa...wala sio mtendaji...!!

Ni Prof. uchwara.... hana credibility hata kidogo tu ya kumwongelea Lowassa, as well UHAI WA CCM UKO KWA LOWASSA KWA SASA...!!! Sio yoyote yule...!!!

Huyu, hata kwao Mbeya ni mzigo, Lowassa kapata wadhamini elfu 53 Mbeya hadi fomu zimeisha.... Mwandosya kapata wadhamini 2,800 tu... wapi na wapi..!?

Naona anajikojolea kabla EL hajaanza kampeni, sbb CCM haiwezi mkata EL...!!

Watia nia wengine wote are weak and unlikable by public...hata 10% ya EL hakuna mtia nia anapendwa na wananchi kama EL...!!!

Ukitaka kuona CCM yangu inakufa na kufutika, wamweke mtu mwingine apart from EL... itakuwa ya KANU..!!

Sema hivii chonde chonde CC mkitaka nife na njaa mwaka huu jina la Lowassa mlidelete kabla ya tano bora!
 
Kwanza acha umbea... kijana mdogo ukiwa mbea, ukiwa mzee utakuwa mchawi....

Mwandosya hana mvuto hata 10% ya Lowassa kisiasa...wala sio mtendaji...!!

Ni Prof. uchwara.... hana credibility hata kidogo tu ya kumwongelea Lowassa, as well UHAI WA CCM UKO KWA LOWASSA KWA SASA...!!! Sio yoyote yule...!!!

Huyu, hata kwao Mbeya ni mzigo, Lowassa kapata wadhamini elfu 53 Mbeya hadi fomu zimeisha.... Mwandosya kapata wadhamini 2,800 tu... wapi na wapi..!?

Naona anajikojolea kabla EL hajaanza kampeni, sbb CCM haiwezi mkata EL...!!

Watia nia wengine wote are weak and unlikable by public...hata 10% ya EL hakuna mtia nia anapendwa na wananchi kama EL...!!!

Ukitaka kuona CCM yangu inakufa na kufutika, wamweke mtu mwingine apart from EL... itakuwa ya KANU..!!

Kwa maana yako hiyo kamati kuu kati ya vigezo vya kumteua mgombea ni kuangalia idadi ya wadhamini waliyo jitokeza kumdhamini?
 
Kwanza acha umbea... kijana mdogo ukiwa mbea, ukiwa mzee utakuwa mchawi....

Mwandosya hana mvuto hata 10% ya Lowassa kisiasa...wala sio mtendaji...!!

Ni Prof. uchwara.... hana credibility hata kidogo tu ya kumwongelea Lowassa, as well UHAI WA CCM UKO KWA LOWASSA KWA SASA...!!! Sio yoyote yule...!!!

Huyu, hata kwao Mbeya ni mzigo, Lowassa kapata wadhamini elfu 53 Mbeya hadi fomu zimeisha.... Mwandosya kapata wadhamini 2,800 tu... wapi na wapi..!?

Naona anajikojolea kabla EL hajaanza kampeni, sbb CCM haiwezi mkata EL...!!

Watia nia wengine wote are weak and unlikable by public...hata 10% ya EL hakuna mtia nia anapendwa na wananchi kama EL...!!!

Ukitaka kuona CCM yangu inakufa na kufutika, wamweke mtu mwingine apart from EL... itakuwa ya KANU..!!

Hilo suara la kuifanananisha na KANU nakuunga mkono
 
Kwenye red hapo, Lazima wakatwe abaki mmoja. Na huyo mmoja atakatwa baada ya kuhesabu kula na kuangukia pua dhidi ya UKAWA!

Duuu,ataaangukia pua kama taifa stars?
 
Wewe nani kakwambia watu wanampenda lowasa watu wampende fisadi na watu wake wote wanaomzunguka nimafisadi nahisi ata ww utakuwa unaarufu ya ufisadi
Hapa rais judge au makongoro tu
 
Ccm sio lowasa ajitoe uone nguvu ya ccm itasimama pale pale alikuwepo mrema nanyie watu kaskazini mkamuunga mkono mamia ya watu yuko wapi saa hz ccm itakuwepo na itaendelea kuwepo huyo lowasa na wafuasi wake mnaeneza propaganda eti lowasa asipopitishwa ccm itagawanyika hilo halipo na alitatokea kamwe
 
#Kigogo asanteeeee....!!! yaani sikio lizidi kichwa kwa ukubwa...maajabu...!!

Nafukiri tumwache Mwandosya hajapona huyu... ana tatizo kubwa la akili na macho... hata kuona haoni nn kinaendelea...!!!

Hahaha hivi Mwandosya na Huyo Lowassa wako aliyesomea mambo ya ngoma ni nani mzima hata kuwatazama tu! Lowassa ni mwizi na waliomzunguka woote ni wezi! hatuwataki wanataka kubaka nchi
 
Kwanza acha umbea... kijana mdogo ukiwa mbea, ukiwa mzee utakuwa mchawi....

Mwandosya hana mvuto hata 10% ya Lowassa kisiasa...wala sio mtendaji...!!

Ni Prof. uchwara.... hana credibility hata kidogo tu ya kumwongelea Lowassa, as well UHAI WA CCM UKO KWA LOWASSA KWA SASA...!!! Sio yoyote yule...!!!

Huyu, hata kwao Mbeya ni mzigo, Lowassa kapata wadhamini elfu 53 Mbeya hadi fomu zimeisha.... Mwandosya kapata wadhamini 2,800 tu... wapi na wapi..!?

Naona anajikojolea kabla EL hajaanza kampeni, sbb CCM haiwezi mkata EL...!!

Watia nia wengine wote are weak and unlikable by public...hata 10% ya EL hakuna mtia nia anapendwa na wananchi kama EL...!!!

Ukitaka kuona CCM yangu inakufa na kufutika, wamweke mtu mwingine apart from EL... itakuwa ya KANU..!!

CCM haitakufa sababu ya fisadi! hakuna kitu kama hicho hiyo janja tu kutisha ili apitishwe kwanguvu! CCM walishajua hiyona atakatwa tu
 
Hivi Mwandosya ni wa kum discuss kweli...!? Sio issue huyo... Are you overlooking the political MUSCLES and looooooong TENTACLES of Lowassa...!!!

He has Tap and fibrous political roots... ukimng'oa unang'oa CCM...!!! Hamelewiiiii...!!!! Ana makucha ya paka...kashika kashikamana...!!! Where are you guys...!!!

Kashikilia oxygen ya CCM, shingo, pua, mdomo, masikio, ulimi, macho, mgongo, mizizi hadi matawi...!!! EL ni mpango wa Mungu, tuongee ktk keyboard but in the field of Politics here in Tz, is like Messi in football au Yesu ktk biblia...!!!

CCM itakuwa KANU ikicheza tu na EL..!!!
 
Ccm sio lowasa ajitoe uone nguvu ya ccm itasimama pale pale alikuwepo mrema nanyie watu kaskazini mkamuunga mkono mamia ya watu yuko wapi saa hz ccm itakuwepo na itaendelea kuwepo huyo lowasa na wafuasi wake mnaeneza propaganda eti lowasa asipopitishwa ccm itagawanyika hilo halipo na alitatokea kamwe

CCM itakuwepo kwa Wamwera na mizimu yake!
 
Ni kosa kubwaa kumlinganisha Mrema na Lowassa...!! Hili kosa litaizika CCM haraka sana, i swear...!!!

Wakati wa Mrema, Nyerere alikuwa hai, alikuwa watu bado wana imani nae sana sanaaaaa, na ndie aliyefanikisha Mkapa kushinda...!!!!

As well, nyakati ni muhimu sana, hivi sasa CCM ikicheza tu na Lowassa, kuna UKAWA.... Lowassa aki team up with UKAWA, which is likely possible kama akiachwa, na kumbuka ataondoka na wabunge wa CCM si chini ya 200 kuhama nao, so wabunge 200 wa CCM akihama nao wakawa TEAM MOJA NA UKAWA....nasema CCM ndio kwaheriiii, burianiiiiii....R.I.P.... tunakulia wali na soda...!!!

So no discussion, ni EL tu...
 
Hahaha hivi Mwandosya na Huyo Lowassa wako aliyesomea mambo ya ngoma ni nani mzima hata kuwatazama tu! Lowassa ni mwizi na waliomzunguka woote ni wezi! hatuwataki wanataka kubaka nchi

Upofu wa macho na akili unakusumbua..!!!
 
Hivi Mwandosya ni wa kum discuss kweli...!? Sio issue huyo... Are you overlooking the political MUSCLES and looooooong TENTACLES of Lowassa...!!!

He has Tap and fibrous political roots... ukimng'oa unang'oa CCM...!!! Hamelewiiiii...!!!! Ana makucha ya paka...kashika kashikamana...!!! Where are you guys...!!!

Kashikilia oxygen ya CCM, shingo, pua, mdomo, masikio, ulimi, macho, mgongo, mizizi hadi matawi...!!! EL ni mpango wa Mungu, tuongee ktk keyboard but in the field of Politics here in Tz, is like Messi in football au Yesu ktk biblia...!!!

CCM itakuwa KANU ikicheza tu na EL..!!!

Si mmeshaambiana hakuna mkubwa zaid ya chama au? ?!!!
 
#Kigogo asanteeeee....!!! yaani sikio lizidi kichwa kwa ukubwa...maajabu...!!

Nafukiri tumwache Mwandosya hajapona huyu... ana tatizo kubwa la akili na macho... hata kuona haoni nn kinaendelea...!!!

Acha mbwembwe dogo, hivi unataka kudanganya umma kuwa Lowassa ana afya nzuri? Hivi bado tu hujaona zile videos zinazosambaa zijimuonesha Lowassa akianguka???

Tanzania ya leo si ile ya 2005 ampapo walichagua mtu kwa sababu ya sura:sly:
 
Back
Top Bottom