Prof. Mwandosya amwomba Lowassa kumuunga mkono

Prof. Mwandosya amwomba Lowassa kumuunga mkono

Arudishe hongo ya Rwanda ilioitosa Tanzania EAC na zile Usd 200,000 za Radar alizokwapua yeye pia
 
Hebu tuwekee source ya Habari Yako.
 
Hivi kati ya Mwandosya na EL nani anatakiwa kumuunga mwenzake mkono?
 
Kwanza acha umbea... kijana mdogo ukiwa mbea, ukiwa mzee utakuwa mchawi....

Mwandosya hana mvuto hata 10% ya Lowassa kisiasa...wala sio mtendaji...!!

Ni Prof. uchwara.... hana credibility hata kidogo tu ya kumwongelea Lowassa, as well UHAI WA CCM UKO KWA LOWASSA KWA SASA...!!! Sio yoyote yule...!!!

Huyu, hata kwao Mbeya ni mzigo, Lowassa kapata wadhamini elfu 53 Mbeya hadi fomu zimeisha.... Mwandosya kapata wadhamini 2,800 tu... wapi na wapi..!?

Naona anajikojolea kabla EL hajaanza kampeni, sbb CCM haiwezi mkata EL...!!

Watia nia wengine wote are weak and unlikable by public...hata 10% ya EL hakuna mtia nia anapendwa na wananchi kama EL...!!!

Ukitaka kuona CCM yangu inakufa na kufutika, wamweke mtu mwingine apart from EL... itakuwa ya KANU..!!
 
Siasa za CCM zina maajabu yake, ukiziingia hata ukiwa Prof unakuwa unafikiri kama STD VII.
 
Hivi kati ya Mwandosya na EL nani anatakiwa kumuunga mwenzake mkono?

#Kigogo asanteeeee....!!! yaani sikio lizidi kichwa kwa ukubwa...maajabu...!!

Nafukiri tumwache Mwandosya hajapona huyu... ana tatizo kubwa la akili na macho... hata kuona haoni nn kinaendelea...!!!
 
Kila mtanzaga nia yeyote lazima ajiamini , na hii huonesha kiasi gani mtu ana nia ya dhati ya kuwatumikia wananchi.Nakubaliana na prof.
 
Inamaanisha Lowassa anakatwa! Pamoja na Membe naye anakatwa. Asilimia kubwa ya CCM wanakatwa!

Kwenye red hapo, Lazima wakatwe abaki mmoja. Na huyo mmoja atakatwa baada ya kuhesabu kula na kuangukia pua dhidi ya UKAWA!
 
Wakuu professor Mark Mwandosya adaiwa kumwomba Lowassa kumuunga mkono ili yaishe..je siasa hii inamanisha nini,?

Tupe chanzo ili kukidhi matakwa ya habari yako hapa jukwaani.
Pili kama ni kweli basi nitaungana na watu tunao amini kuwa siasa za Tanzania ni "Gutter Politics" hakuna yeyote mwenye kujielewa.
 
Kwanza acha umbea... kijana mdogo ukiwa mbea, ukiwa mzee utakuwa mchawi....

Mwandosya hana mvuto hata 10% ya Lowassa kisiasa...wala sio mtendaji...!!

Ni Prof. uchwara.... hana credibility hata kidogo tu ya kumwongelea Lowassa, as well UHAI WA CCM UKO KWA LOWASSA KWA SASA...!!! Sio yoyote yule...!!!

Huyu, hata kwao Mbeya ni mzigo, Lowassa kapata wadhamini elfu 53 Mbeya hadi fomu zimeisha.... Mwandosya kapata wadhamini 2,800 tu... wapi na wapi..!?

Naona anajikojolea kabla EL hajaanza kampeni, sbb CCM haiwezi mkata EL...!!

Watia nia wengine wote are weak and unlikable by public...hata 10% ya EL hakuna mtia nia anapendwa na wananchi kama EL...!!!

Ukitaka kuona CCM yangu inakufa na kufutika, wamweke mtu mwingine apart from EL... itakuwa ya KANU..!!

Kumbe we mwanaccm ndo mana
Yani kumshabikia EL ni sawa na kumtetea mwizi angali unajua
 
Back
Top Bottom