Mshapanga kufanya fujo? haya tumeni sms nyingine kwa Mwema. Ile mlisema aandae risasi? Hii mtasema aandae nini?
Basi Mwema ni roboti - akiambiwa aandae risasi anatimiza kama alivyoambiwa. Mimi nilifikiri maroboti ni maRPC wake tu!!! RPC mzima hajui hata maana ya 'mkutano wa ndani'!!! Shame on this dola na vikaragosi vyake kama akina Zomba. Polisi wanafanya dhuluma ya wazi na mkuu wa nchi anakaa kimya- anashindwa hata kutoa kauli ya kukalipia vitendo kama hivi. Subirini siku ya siku ikiwadia mtapelekwa Segerea , kama mtakuwa mmeondoka duniani basi makaburi yenu yatageuzwa kuwa vyoo!!!
Ule ni Mkutano wa ndani, waitolewa chumbani wale wakafyatuliwa? si ndio? hata picha zinawasuta.
Kwahiyo kilichofanyika ni sawa kwakuwa ulikuwa ni mkutano wa nje usio na kibali sio??
Na kabla ya hapo waliambiwa wasifanye mkutano mpaka sensa iishe na wakaambiwa na polisi wasambaratike wakakaidi.
Ingawa umeshindwa kujibu swali langu naongeza maswali 2 kutokana na maelezo yako....
Mosi...Ijumaa pale Mambo ya Ndani kulikuwa na kibali??
Pili ....Sensa ilishakwisha??
kwani ni chama kipi kilichotuma ujumbe kwa mkuu wa polisi kuwa watayarishe risasi?
unajibu swali kwa kuuliza swali??? Jibu kwanza mawali yangu nitajibu yako.
Kwani marehemu alikuwa mtoto mdogo? Au Waziri alikuwa anaomboleza msiba wa mtu mwingine? Kwa hiyo huyu mtu mzima kufa ni sawa? Anyhow, inaweza kuwa ni tatizo la jumla la Mtanzania, hatujui kuwasiliana na haswa mawasiliano ya umma.
The more substantive problem, however, is his sense of tolerance and foot-dragging attitude toward the blood sport culture within law enforcement. "Iwe mara ya mwisho... iwe mara ya mwisho..." iwe mara ya mwisho mara ngapi?
Kiongozi wa kweli, shupavu ange demand responsibility, that somebody be held accountable for these inexcusable actions, sio arudie rudie iwe mwisho... sitaki kusikia tena... utadhani anamkanya mwanae wa chekechea.
Kwa mtu anaeongelewa kugombea urais hii inakupa picha ya haraka, a sneak peek, into his character and abilities, kwamba ni kiongozi dhaifu dhaifu kama Pinda fulani hivi, mikwala mingi ya kupiga marufuku vitu ambavyo vinatokea kila mara lakini hawana backbone ya kuwa na misimamo dhabiti.