mimi pia nafanyaga makosa ya kiuandishi kama hii lakini ni kutokana na 'udogo' wangu ila kwa taasisi kama hii ni aibu ya hali ya juuKwenye hiyo list ya wajumbe wa bodi, mbona namba (ii) haipo? Wamekosea kuweka namba ama kuna mjumbe wamesahau kumweka? Hii ndio Tanzania.
Masuala ya Habari hayapo katika mambo ya muungano. Mjumbe namba (viii) Mkurugenzi wa habari idara ya Zanzibar anateuliwaje kuwa kwenye chombo/bodi ambayo haihusiki na mambo ya Muungano?
na wenyewe ndio sisi pamoja na weweGachuma,ama kweli hii nchi ina wenyewe
muungano wetu ni wa kipekee.kwetu kwao kwao si kwe2
Hapo kirefu chake kitakuwa ni nini? Tanzania broadcasting CCM? haha, labda ingesomeka CCMBC, kwa maana ya CCM broadcasting cooperation.Ningeomba isomeke TBCCM.