Prof Mussa Assad ndio Man Of The Match mwezi mzima sasa

Prof Mussa Assad ndio Man Of The Match mwezi mzima sasa

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,741
Reaction score
25,681
Acha na mambo ya UEFA sijui EUROPE sijui Simba kufungwa na Mazembe.
Huyu Professa Assad ndio MAN OF THE MATCH yaani katetemesha Bunge kichizi

No photo description available.
 
Acha na mambo ya UEFA sijui EUROPE sijui Simba kufungwa na Mazembe.
Huyu Professa Assad ndio MAN OF THE MATCH yaani katetemesha Bunge kichizi

No photo description available.
Ndivyo ilivyo, Boss! Alikuwepo Nape akapita. akaja Lissu, amepita. Akaja Membe, akapita. nk. wote wakishapita ndo tunagundua ni watu wazembe tu kama wengine tusiowajua.
 
Inavyoelekea kesi na hukumu alikuwa navyo mkononi mwake kwahiyo alikuwa akielekeza kamati ifanye nin, na akijua bunge litasema ndiyoooooo! kwa anachokitaka yeye.
 
Ndivyo ilivyo, Boss! Alikuwepo Nape akapita. akaja Lissu, amepita. Akaja Membe, akapita. nk. wote wakishapita ndo tunagundua ni watu wazembe tu kama wengine tusiowajua.
Wewe ndio umepita sisi kila kitu kipo ktk kumbukumbu kuna siku mtakuja kujibu yote haya
Ben saa 8 TL Ikwlina Mawazo utumbo wenu bungeni Koroshow mbaazi nk
Wakati utaongea hutobakia milele hapoo
 
Back
Top Bottom